Mwalimu-Mkuu
Member
- Feb 22, 2013
- 75
- 202
Vinginevyo CBE ingeitwa SBE...😂Bado unachanganya mambo! Focus ya CBE sio specialization.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinginevyo CBE ingeitwa SBE...😂Bado unachanganya mambo! Focus ya CBE sio specialization.
Idea sio kuwa mtoto wa mfanyabiashara awe mfanyabiashara
Idea ni kuwa mtoto a pick up fani yake akiwa mdogo na aweze kuni master fully kwa msaada wa mtaala husika , mathalani labda mtoto awe IT expert, si anaweza kumsaidia baba yake mfanyabiashara kwenye fani hiyo? ,Badala ya kuwa na degree ambayo inamlazima aajiriwe tu
😂Kama kitu hujui uliza!
That is why waswahili wengi matajiri huzalisha familia maskini mbeleni wakifa angalia wahindi,wapemba na waarabu mbona watoto wao huwa developed na wazazi wao na kuwa na interest na biadhara za wazazi wao na kuzipeleka mbali na wakienda kusoma wanaenda kusoma mambo ya business mifano kibao balheresa darasa la pili wanawe wamepiga shule kuendesha business mzee ka relax swala tano watoto wanapiga kazi kuliko alivyopiga mzazi waoHivi unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kila mtoto wa mfanyabiashara ana interest ya kuwa mfanyabiahara?
That aside, a successful businessperson isn’t minted in a classroom!
Competency based = kulingana na uwezo , unachoonesha kukielewa ndo utafundishwa .Bado unachanganya mambo! Focus ya CBE sio specialization.
Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki
Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa Competent based wataufuta sababu walimu hawautaki,wazazi hawautaki na wanafunzi hawautaki na wanashangiliwa sana
Serikali vizuri ikajifunza kupitia kenya kabla kukurupuka kuuanzisha.Wao walijiingiza kichwa kichwa
Umeandika kitu gani kwenye jibu lako ambacho hakieleweki?Ukianza kujibu bila kuelewa aliyekuwa anajibiwa alikuwa anajibiwa kitu gani tutachoshana bure!
That is why waswahili wengi matajiri huzalisha familia maskini mbeleni wakifa angalia wahindi,wapemba na waarabu mbona watoto wao huwa developed na wazazi wao na kuwa na interest na biadhara za wazazi wao na kuzipeleka mbali na wakienda kusoma wanaenda kusoma mambo ya business mifano kibao balheresa darasa la pili wanawe wamepiga shule kuendesha business mzee ka relax swala tano watoto wanapiga kazi kuliko alivyopiga mzazi wao
Familia Ya Dewji hivyo hivyo mzee kakaa pembeni kaachia watoto wakiongozwa na Mo Dewji kaipaisha kampuni kuliko wazazi wake hadi kuifikisha ubilionea kimataifa.
Tuwe wakweli kwenye competence based Education wazazi wengi wa kiswahili kuna shida kiasi kuwa mtoto hata hawi na intetest na business ya mzazi wake hata iwe kubwa vipi anaona heri tu aanze ground zero kutafuta tu maisha yake .Wengi si kuwa wanapenda hivyo !!!! Mzazi anasukumia dunia mitoto yake na kusukumia serikali ndio wamfundishe na kujua watampeleka wapi ? Wakati nyumbani kuna miundombinu tayari .Very sad
Wenzetu familia ya wafanyabiashara wakubwa huzalisha kizazi cha wafanyabiashara matajiri wakubwa waswahili mfanyabiashara mkubwa kazi yake kuzalisha kizazi cha maskini anaongeza tu idadi ya maskini kwenye nchi kupitia wanawe,wajukuu nk
Mwalimu !!Vinginevyo CBE ingeitwa SBE...😂
Umeandika kitu gani kwenye jibu lako ambacho hakieleweki?
Unaona madhara ya mfumo wa elimu yetu ya kukariri!! tunaongelea kitu kimoja ila kwa kuwa sijielezi the way unavyojua una ni attack na kudhani nakupinga.
Hajaekewa nasema kwenye competency based mzazi ana.mchango mfano unamiliki shule private mtoto anatakiwa kuwa developed competence kwenye hiyo area ili baadaye atake over hivyo akisoma Education it us ok achukue vitu related na hicho ku develop competence yakeSentence yangu ya mwisho imeshakujibu. Your assumption that watoto wanaosimamia biashara za wazazi wao lazima wamesoma masomo ya biashara is preposterous!
Umeniwahi, ameandika kama vile watu wote ni walimu humu ndaniFafanua ni kitu gani hicho?? sio wote tulioko hapa ni walimu
Hajaekewa nasema kwenye competency based mzazi ana.mchango mfano unamiliki shule private mtoto anatakiwa kuwa developed competence kwenye hiyo area ili baadaye atake over hivyo akisoma Education it us ok achukue vitu related na hicho ku develop competence yake
Kama una Hospital au pharmacy vivyo hivyo sijaongelea tu mtu kusoma masomo ya biashara
Neno nililotumia ni businesss related Education
Anyway kifupu wafanyabiashara wakubwa wengi waswahili ni pasua kichwa business hazina succession plan akifa na wakifa na zenyewe zinaenda kuzikwa nyumba ya milele
wala sio makusudi.naomba unipe hadi saa 2:30 nitakuja na ufafanuzi wa points za #20 ili uelewe ninachokisema.Pamoja na ukilaza wangu siwezi nikapotosha jamii kwa makusudi....niwie radhi kama comments zangu zhazijajibu hoja zako ulivyotegemea.Mwalimu !!
Unapotosha kwa maksudi au ndo madhara ya mimi na wewe kukariri,? mbona hutoki nje ya box ?
Hapana hujanikosea chocote na napenda nijifunzewala sio makusudi.naomba unipe hadi saa 2:30 nitakuja na ufafanuzi wa points za #20 ili uelewe ninachokisema.Pamoja na ukilaza wangu siwezi nikapotosha jamii kwa makusudi....niwie radhi kama comments zangu zhazijajibu hoja zako ulivyotegemea.
Kwenye mtaala wa competence based Education kuna kipengele cha Career Guidance ambapo mwalimu,mzazi na mtoto lazima waongee pamoja mtoto achukue careeer ipi!!! Specialiazation hiyo!!!CBE isn’t about specialization!
CBE is a well documented model. Kwanini watu wengine hamtaki kujielimisha kwa kusoma institutional publications badala ya kuanza kuandika hisia zenu wenyewe?
Kwenye mtaala wa competence based Education kuna kipengele cha Career Guidance ambapo mwalimu,mzazi na mtoto lazima waongee pamoja mtoto achukue careeer ipi!!! Specialiazation hiyo!!!
MK umekuja na akili nyingi ajabuMimi Mkenya hapa, nimeuchangamkia huu mfumo, na wengi wetu pia.
Hamna chochote kipya huwa rahisi, lazima mwanzo uwe mgumu maana huu ni mfumo unaobadilisha mwanafunzi aache kukariri na awe fundi na mwenye maujuzi, pia ni mfumo ambao utaacha kupambanisha ngendere na samaki kwenye zoezi la kuogelea au kukwea mti, kila mmoja anaelekezwa kwenye fani aipendayo na inayomhusu.
Habari Mkuu t blj,Mwalimu !!
Unapotosha kwa maksudi au ndo madhara ya mimi na wewe kukariri,? mbona hutoki nje ya box ?
EBE ni aina ya elimu inayotolewa ambayo ina vipengele 5 kama alivyosema Mkuu Animo,Nchi inapoamua kuchukuwa na ku adopt mfumo huu wa elimu inabidi inchi husika i customize content na implementation ili iendane na malengo ya elimu ,jamii na mazingira ya nchi husika.Achana na articles za mtu mmoja mmoja hizi. Soma institutional publications ndipo utapata a more accurate understanding of a Competency-Based Education (CBE) model.
Kwa kifupi, CBE inaleta flexibility katika kujifunza. Student anajifunza kwa pace yake. CBE emphasizes mastery of skills rather than the time-based completion of required credits. Mtu sio lazima atumie miaka saba kumaliza elimu ya msingi au miaka minne kumaliza o’level, kwa mfano. Anaweza kutumia muda mfupi au mrefu, depending on individual learning pace or needs.
THE FIVE ELEMENTS OF CBE
Students advance upon mastery.![]()
Competencies include explicit, measurable, transferable learning objectives that empower students.![]()
Assessment is meaningful and a positive learning experience for students.![]()
Students receive timely, differentiated support based on their individual learning needs.![]()
Learning outcomes emphasize competencies that include application and creation of knowledge, along with the development of important skills and dispositions.![]()
Kwa kuanza na swali la huyu bwana mkubwa' Maala wetu umeboreshwa.umechukuwa mfumo wa CBE- tuna carriculum inayoitwa CBC ambao ni maboresho ya Carriculum iliyopita.Kwani mfumo wa elimu kwa Serikali ya Tanzania ukoje na unaitwaje?