Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hutaki kuzaa ni wewe. Wengine tunaona serikali iweke ukomo uwe watoto 6 kwa mke mmoja. Mwanaume akiwa na wake zaidi ya mmoja aendelee mpaka atakaposhindwa mwenyewe.Kwa kweli hali ni mbaya sana.
Umetoa wazo zuri.
Jinga kabisaNdugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
JPM rais mpendwa dunia nzima aliposema watu wafyatue hasa wa kanda ya ziwa alikuwa anawaongopea?Utajiri gani wa watu ambao ni masikini? Hata mstaafu Jk Kikwete mwaka 2012 kipindi anapokea riport ya sensa ya watu na makazi alionya ongezeko kubwa la watu wakati uchumi ni mbovu.
Tukuze kwanza uchumi badae ndo tuzaliane.
kikwete hajui kila kitu!! kwani yeye nani? ndo maana alikwambia hivi akili za kuambiwa changanya na zako, kama hujakuza uchumi miaka zaidi ya 50,ya uhuru, kubali tu kuwa wewe ni failure mbaya, wacha ije damu mpya!Utajiri gani wa watu ambao ni masikini? Hata mstaafu Jk Kikwete mwaka 2012 kipindi anapokea riport ya sensa ya watu na makazi alionya ongezeko kubwa la watu wakati uchumi ni mbovu.
Tukuze kwanza uchumi badae ndo tuzaliane.
Unaamini kila kitu na kila mtu? IQ yako itakuwa chini sana,Last year nilikuw na best wangu kutoka Latvia huko aliniambia
"If you want to success as nation you should control your population first"
Mapori ya kuishi bado yapo mengi kwelikweli. Tatizo tunapenda kukusanyika sehemu moja.Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi
Fikiria Kijiji kina shule mbili za msingi lakini bado shule zimezidiwa na wanafunzi. Hizi shule unakuta shule Ina hadi watoto mia Saba hadi mia tisa.
Nimeitolea Ukerewe kama mfano lakini najua hata sehemu nyinginezo za nchi yetu hali iko hivyo. Kama hali hii isipodhibitiwa na wizara ya afya basi huko mbeleni kazi ya serikali itakua kujenga madarasa na hospitals badala ya kufanya miradi ya maendeleo.
Australia nchi yenye maendeleo makubwa Ina watu ambao wahazidi million Saba Sasa ukija Tanzania Hali inatisha. Uzazi wa mpango utungiwe sheria ili tuweze kuwaletea Wananchi wetu maendeleo maana kasi ya uzazi ni kubwa kuliko ukuaji wa uchumi.
Asanteni.
Tatizo watoto wanaozaliwa hawapati basic needs .Wengi wametelekezwa ndo shida yangu iko hapo.Swala la mapoli sio ishu .Mapori ya kuishi bado yapo mengi kwelikweli. Tatizo tunapenda kukusanyika sehemu moja.
Hahahahahah "babe la wachovu"Tatizo watoto wanaozaliwa hawapati basic needs .Wengi wametelekezwa ndo shida yangu iko hapo.Swala la mapoli sio ishu .
Umesema umechukulia hali ya Ukerewe kwamba itakuwa ni hivyo hivyo nchi nzima... Huoni kumbe umefanya majumuisho pasina kufuata utaratibu!? Utafiti gani huo sampling ya namna hiyo? Rejea topic ya Research form three kwenye Geography Kadhalika, usisahau kujibu maswali ya mdau hapo juu post namba 4
Kuna watoto wa jirani wanazunguka kuomba omba barabarani na wengine wamegeuka vibaka wanatukaba mitaani.Kuna mtoto wa jirani anakuja kuchukua ada kwako?
Vipi serikali yenu ya mtaa imepitisha sheria ya mtu mmoja kuruhusiwa kula nyumba yoyote?
Kwani wanaozaa watoto wengi wamelalamika kuwa wanaonewa na Serikali?
Nchi ina rasilimali lukuki, hata Watanzania tungekuwa bilioni moja kama serikali ingeweza kusimamia rasilimali zetu ziwe productive kila familia ingekuwa na maisha bora.
Serikali isikwepe jukumu lake, serikali ndio mmiliki wa kila kitu Tanzania ikiwemo ardhi. Hata leo chini ya kitanda chako ikigundulika dhahabu utatimuliwa kama mbwa ukikataa kutimuliwa kistaarabu.
Kwa kweli hali ni mbaya sana.
Umetoa wazo zuri.
Uhakika wa soko hautokani na kuzaliana bali kipato cha wato, hata mkizaliana kama kumbikumbi kama ni mafukara hakuna chochote cha maana kitafanyika zaidi ya uharibifu wa nchi.Nchi hii ni kubwa sana. Mfano kutoka Chalinze mpaka Morogoro ni mapori na misitu yenye utajiri mkubwa. Kwa maoni yangu tuendelee kuzaana ili tuwe na uhakika wa soko la ndani. Uwingi sio tatizo tatizo ni fikra na juhudi.