Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Hizo ni hofu zako,kwani Labour ya uingereza ilikuwaje,?waambie wenye hofu wenzio wetende Haki!Sio mbaya kikija kuwa chama Cha Siasa kama kitasajiliwa kihalali.
Ni lazima Tls iendeshwe kwa kuzingatia misingi ya kuanzishwa kwake.kikikiuka misingi yake.basi ni lazima hatua kali za kisheria zichukuliwe na serikali yetu.hatuwezi kuona chama cha kitaaluma kikigeuzwa kuwa kichaka cha wanaharakati uchwara kutolea matamko yao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.

Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.

Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu

Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi amani ni nini na inalindwa na nani? Unadhani kuwa mwanaccm ndo kuwa mzalendo au?
 
Na uongozi mpya wa TLS chini ya rais wakili msomi Boniface Mwabukusi utahudumu kwa miaka 3 yaani mwaka, 2024 hadi 2027 baada ya uongozi ukiopita kubadilisha muhula toka mwaka mmoja hadi miaka mitatu ili uweze kufanya kazi kwa mguso zaidi .

Kipindi hiki cha 2024, 2025 Tanzania imepata mdau muhimu wa utetezi wa haki, demokrasia na uhuru kupitia chama cha mawakili TLS .

Kuongezeka kwa mdau huyu muhimu ni lulu kubwa kwa nchi yetu.

Kikanda TLS na Jumuiya za Wanasheria wa Afrika Mashariki EALS zinafanya kazi ya kukuza utawala bora na utawala wa sheria katika ukanda wa Afrika Mashariki na wanajukumu zito lililo rasmi la kuwa waangalizi kupitia Jumuiya ya Afrika Mashariki (East Africa Law Society EALS) na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu.

TLS working in partnership with The East Africa Law Society EALS, works to promote good governance and the rule of law in the East African region and enjoys formal Observer Status with the East African Community and the African Commission on Human and Peoples' Rights.
Hiyo lugha Mwashambwa umemchanganya!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.

Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.

Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu

Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe ni wee mbwa!
 
Maono ya Lice!
Moja ya Changamoto kwa Chama chako ni kutotaka kusikia mtu au kikundi kinachoelimisha Wananchi kuzijua Haki zao na namna ya kuzidai.
Kutosikia Mtu au Kikundi cha Watu kinachoikosoa Serikali pale inapokuwa imeenda kinyume na Katiba.
TLS ni mtetezi wa wananchi.
 
TLS ni chama cha kitaaluma bado hata hayo matamko unayoona wewe yanavuruga amani kama unavyodai yako kisheria.

Mfano ni kuwa waziri kafuta vijiji vya Ngorongoro kwa matakwa yake haijulikani mamlaka hayo kayatoa wapi kikatiba, alipokuja rais wa TLS katengua maamuzi hayo kwa kunukuu vifungu vya sheria na kuonyesha wazi ni waziri ndio kavunja sheria na sio wamasai kuwepo kwenye eneo lao asili.

Hiki ulichoandika hapa hakuna kifungu chochote ulichofanya rejea kuonyesha TLS imegeuka chama cha siasa.

Ni vyema mada zingine usizipandishe hapa japo unapata ujira wako kwa taabu ila mada zingine ukubali zinakuzidi kimo.View attachment 3075659
Huyo mfupi ndiye Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom