Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Hizo ni hofu zako,kwani Labour ya uingereza ilikuwaje,?waambie wenye hofu wenzio wetende Haki!Sio mbaya kikija kuwa chama Cha Siasa kama kitasajiliwa kihalali.
Ni lazima Tls iendeshwe kwa kuzingatia misingi ya kuanzishwa kwake.kikikiuka misingi yake.basi ni lazima hatua kali za kisheria zichukuliwe na serikali yetu.hatuwezi kuona chama cha kitaaluma kikigeuzwa kuwa kichaka cha wanaharakati uchwara kutolea matamko yao.
 
Hivi amani ni nini na inalindwa na nani? Unadhani kuwa mwanaccm ndo kuwa mzalendo au?
 
Hiyo lugha Mwashambwa umemchanganya!
 
Hii TLS imeshapoteza mwelekeo ipo biased badala ya kusimama katikati, hii ni ya kuipuuza it's useless
Inakisa maana ikiiisimamia serikali kufuata sheria sio? Ila wakiwa chawa sawa, acheni ujinga wa akili na utumwa wa mawazo
 
Kumbe ni wee mbwa!
 
Maono ya Lice!
Moja ya Changamoto kwa Chama chako ni kutotaka kusikia mtu au kikundi kinachoelimisha Wananchi kuzijua Haki zao na namna ya kuzidai.
Kutosikia Mtu au Kikundi cha Watu kinachoikosoa Serikali pale inapokuwa imeenda kinyume na Katiba.
TLS ni mtetezi wa wananchi.
 
Huyo mfupi ndiye Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…