Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Usitumie hisia kwenye mambo ya kitaaluma,ingelikuwa vema kama hoja yako ingelijengwa kwenye uvunjifu wa katiba ya nchi na katiba ya Chama cha wanasheria Tanganyika TLS kama zimevunjwa na kwa namna gani.
 
Mimi huwa natumia akili na siyo hisia katika kuzungumzia jambo lolote lile
 
Aiseeeee......
 
Yaani wadau sijawahi kuelewa akili ya mwashambya ata kama ni njaa au uchawi hawa ndo maadui wa nne wa TAIFA ukiachana na wale watatu
 
Pia Serikali iwe makini kabla Chama tawala haijamaliza fedha za umma kwa kampeni yake ya uchaguzi 2024 na 2025 kama ilivyokuwa 2019 na 2020.
 
Yaani wadau sijawahi kuelewa akili ya mwashambya ata kama ni njaa au uchawi hawa ndo maadui wa nne wa TAIFA ukiachana na wale watatu
Uwepo wa Mwashambwa, kwa kweli ihesabike ni laana kwa familia yake, na laana kwa jamii inayomzunguka. Ukiwa na mtu wa namna hii kwenye familia utabaki unajiuliza ulikosea wapi mpaka kuwa na mwanagfamilia wa hivi!!
 
Pia Serikali iwe makini kabla Chama tawala haijamaliza fedha za umma kwa kampeni yake ya uchaguzi 2024 na 2025 kama ilivyokuwa 2019 na 2020.
CCM Ina pesa za kutosha na vitega uchumi kila kona ya Taifa letu.ndio maana haiteteleki sala kusuasua katika jambo lolote lile
 
Kwani hufahamu ya kuwa kuna watu wanaweza kuwafadhili watu ili watumike katika kuleta machafuko Nchini,kwa kutoa lugha za uchochezi na chuki kwa watu.
Sass hizo ni hypothesis kama kuna ukweli weka ili ijadiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…