Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

CCM lazima mtatia heshima mwaka huu. Mwabukusi ndiyo kwanza hajamaliza hata mwezi mmoja kati ya miezi 36 (miaka 3).
Wasije wakampiga risasi tu kama walivyofanya kwa Tundu Lissu, maana hawa mabwege wakishindwa kuhimili hoja wanakimbilia bunduki.
 
Wapinzani Sasa hivi mmeishiwa hoja na kubakia kufanya uzushi na uongo tu.ndio maana mnaendelea kupuuzwa sana na watanzania.
Nyie wajinga hata mkishindwa kuwatia mimba wake zenu mnasingizia wapinzani, TLS ni chama cha kitaaluma hata wana CCM wamo mnachotakiwa ni kujibu hoja zao siyo mnapeleka lawama kwa wapinzani huo ni uduwanzi.
 
Wewe ni mtoto mdogo tu, na pia ni mlugaluga unayeishi porini (Mbozi huko)!! Hiyo TLS umeijulia wapi? Au ndiyo kila unachokiona mbele yako unadandia tu ili uonekane?
 
Habar ya kizimkazi ndugu Mwashambwa maana bila shaka ulikuwepo kusapoti juhudi kuu za mama ili aupige mwingi
 
kama TAWLA sijui TAMWA wanatetea wamama na hamkuwaita chama cha siasa walipotoa tamko dhidi ya Makonda kumtusi yule dada, kwanini TLS iitwe chama cha siasa wanapowatetea wamasai?
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina KASIMU na KAMANDA MULIRO mwende MKATAZAME hili swala la Mwabukusi tunakwenda nalo vipi.

Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vyao, oooh mama kauza bandari, mama kauza bahari, mama kauza hiki, mama kauza kile, sasa mwende MKANIPIGANIE MAMA YENU.

KAMANDA MULIRO nina imani na uzoefu wako wa JUDO na KUNG'OA MENO YA MBELE, na wewe KASIMU najua ni bingwa wa KUHADAA na kupiga PROPAGANDA, nendeni mkafanye kazi NILOWATUMA.

Na suala JENGINE, msiende huko mkaanza kusema mama ametutuma, hapana, nataka mjiamini katika kazi niliyowapa kisha mnirudishie ripoti yenye HADIDU REJEA.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: namba moja ajaye nchini DR Mambo Jambo min -me mshamba_hachekwi Rabbon
 
Wasiopenda haki utawajua tu!!!! Sasa shida ya TLS ni ipi ilhali wako wanatuonyesha madudu mengi kwenye ukiukaji wa Sheria kwa Viongozi...???

Mfano , Sheria ya kufuta Vijiji huko Ngorongoro.... Nimemwelewa sana Mwabukusi alipotoa ufafanuzi....
 
Ni kweli, maana TLS na taasisi nyingine za aina hiyi zinatakiwa ziwe makondoo kwa serekali.
 
Tulia mlizoea TLS mdebwedo kibogoyo isiyo na meno sasa tuna TLS inayowajibika kwa wananchi na rasilimali ya Watanganyika mnaanza kuruka ruka badala ya kukaza makalio dawa iingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…