Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Njama za kuifanya TLS iwe moja ya Jumuiya za CCM kama UWT zimegonga Mwamba.

Safi sana Mwabukusi✊️✊️😂
Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
 
TOKA MAKTABA :

Uongozi uliopita wa TLS

2021 27 Julai

"Kosa la Utekaji na Ugaidi Halina Uhusiano na Vyama Vingi"- Prof Hoseah​

View: https://m.youtube.com/watch?v=9ncycHIB3ps
Amesema hayo rais wa chama cha mawakili Tanganyika Prof. Edward Hoseah wakati alipofanya mahojiano maalum ofisini kwake makao makuu ya chama hicho Wakili House, Mikocheni jijini Dar Es Salaam... utekaji na ugaidi ni makosa mazito ...

Watekaji huwezeshwa na hata ukiwatizama unajua hawa ni watekaji, rais wa TLS Prof. Edward Hoseah anasisitiza ....

Rais wa TLS Prof. Edward Hoseah anaongeza nchi hii ni ya vyama vingi hivyo chama dola kongwe kiwe na uvumilivu wa kusikia maoni tofauti, ambayo mengine ni mazuri kabisa, haiwezekani wewe tu mwenye maguvu ya kiutawala na mamlaka muda wote ukawa upo sahihi ki maono hivyo mawazo mbadala yapewe nafasi ..
 
Tulia mlizoea TLS mdebwedo kibogoyo isiyo na meno sasa tuna TLS inayowajibika kwa wananchi na rasilimali ya Watanganyika mnaanza kuruka ruka bdala ya kukaza makalio dawa iingie
Tls inaendeshwa kwa mujibu wa sheria.ikitokea imekiuka sheria hizo ni lazima ichukuliwe hatua kwa wahusika
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.

Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.

Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu

Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
TLS wewe unajua misingi yake zaidi ya uchawa unaohangaika nao
 
Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
Hicho Chama chenu cha CCM ambacho kinaibia KURA HALALI za WANANCHI KINACHOTEKA WATU NA KUWATUPA MBUGA ZA WANYAMA nacho mbona hukuongelei?! Au ndicho kinachokuhonga na kukufanya uende CHOO KIKUBWA?!
 
CCM ndio imebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio maana inaendelea kuaminika na kukubalika kwa watanzania.
 
Sijaona kitu ulitaka uweke ili kijadiliqe.
Umeona nini?
Kupitisha pesa chafu kivipi?
.
Je ni hofu ya kivuli chako?
 
Kwani hufahamu ya kuwa kuna watu wanaweza kuwafadhili watu ili watumike katika kuleta machafuko Nchini,kwa kutoa lugha za uchochezi na chuki kwa watu.
 
Sijaona kitu ulitaka uweke ili kijadiliqe.
Umeona nini?
Kupitisha pesa chafu kivipi?
.
Je ni hofu ya kivuli chako?
Kwani hufahamu ya kuwa kuna watu wanaweza kuwafadhili watu ili watumike katika kuleta machafuko Nchini,kwa kutoa lugha za uchochezi na chuki kwa watu.
 
Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
Kasome section 4 ndo uje ujenge hoja yako
 
TLS ina zaidi ya miaka sitini, sasa miaka hii ndo ije kuwa na mpango wa kuwa chama cha Siasa,hebu tupunguze uchawi wakati mwingine
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.

Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.

Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu

Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha habari zako wewe
 
TLS ina zaidi ya miaka sitini, sasa miaka hii ndo ije kuwa na mpango wa kuwa chama cha Siasa,hebu tupunguze uchawi wakati mwingine
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? Ni kuwa kwake hapa Nchini kwa miaka mingi? Kwa hiyo hiyo miaka mingi ndiyo kinga yake ya kutotenda na kufanya makosa? Je hiyo miaka sitini kimeongozwa na huyu aliyepo sasa?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.

Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.

Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu

Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hongera kwa kunena kweli
 
Back
Top Bottom