Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #41
Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.Njama za kuifanya TLS iwe moja ya Jumuiya za CCM kama UWT zimegonga Mwamba.
Safi sana Mwabukusi✊️✊️😂
Tls inaendeshwa kwa mujibu wa sheria.ikitokea imekiuka sheria hizo ni lazima ichukuliwe hatua kwa wahusikaTulia mlizoea TLS mdebwedo kibogoyo isiyo na meno sasa tuna TLS inayowajibika kwa wananchi na rasilimali ya Watanganyika mnaanza kuruka ruka bdala ya kukaza makalio dawa iingie
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tuNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
TLS wewe unajua misingi yake zaidi ya uchawa unaohangaika naoTunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
Hicho Chama chenu cha CCM ambacho kinaibia KURA HALALI za WANANCHI KINACHOTEKA WATU NA KUWATUPA MBUGA ZA WANYAMA nacho mbona hukuongelei?! Au ndicho kinachokuhonga na kukufanya uende CHOO KIKUBWA?!Tunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
wanaoingoza Tls ndo wanaoijua misingi yake,mlizoea Tls mbwa koko,sasa wanaume wako kazini wasomi wanaojitambuaTls inaendeshwa kwa mujibu wa sheria.ikitokea imekiuka sheria hizo ni lazima ichukuliwe hatua kwa wahusika
CCM ndio imebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio maana inaendelea kuaminika na kukubalika kwa watanzania.Hicho Chama chenu cha CCM ambacho kinaibia KURA HALALI za WANANCHI KINACHOTEKA WATU NA KUWATUPA MBUGA ZA WANYAMA nacho mbona hukuongelei?! Au ndicho kinachokuhonga na kukufanya uende CHOO KIKUBWA?!
Kwani hufahamu ya kuwa kuna watu wanaweza kuwafadhili watu ili watumike katika kuleta machafuko Nchini,kwa kutoa lugha za uchochezi na chuki kwa watu.Sijaona kitu ulitaka uweke ili kijadiliqe.
Umeona nini?
Kupitisha pesa chafu kivipi?
.
Je ni hofu ya kivuli chako?

Kasome section 4 ndo uje ujenge hoja yakoTunachohitaji ni chama kuendeshwa kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu.ikiwa misingi na yaratithizo zitakiukwa basi ni lazima hatua za kisheria zichukuliwe kwa yeyote atakaye kuwa amekiuka taratibu. Chama cha kitaaluma hakiwezi kujiendesha kama chama cha siasa kali halafu kikaachwa Pasipo kuchukuliwa hatua.
masikini unamwonea tu chawa section ya 4 tena arejeeKasome section 4 ndo uje ujenge hoja yako
Acha habari zako weweNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hili papaiurojoHii TLS imeshapoteza mwelekeo ipo biased badala ya kusimama katikati, hii ni ya kuipuuza it's useless
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? Ni kuwa kwake hapa Nchini kwa miaka mingi? Kwa hiyo hiyo miaka mingi ndiyo kinga yake ya kutotenda na kufanya makosa? Je hiyo miaka sitini kimeongozwa na huyu aliyepo sasa?TLS ina zaidi ya miaka sitini, sasa miaka hii ndo ije kuwa na mpango wa kuwa chama cha Siasa,hebu tupunguze uchawi wakati mwingine
Hongera kwa kunena kweliNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi kazi yangu ni kuandika ukweli.Acha habari zako wewe