Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Wenzio Wana leseni za uwakili ndio maana wanajimwambafai, wewe hata ya biashara ndogondogo huna..
 
Wasije wakampiga risasi tu kama walivyofanya kwa Tundu Lissu, maana hawa mabwege wakishindwa kuhimili hoja wanakimbilia bunduki.
Wakuu, hivi kwa nini hatuna maduka ya kuuza na kununua bunduki ki-sheria?
 
Unasema hivyo kwa sababu hujawahi kudhulumiwa na serikali. Mfano ardhi unaloishi limethibitika kuwa dhahabu watu wa serikali wanakufukuza bila kukulipa fidia hata mwekezaji akitaka kukulipa wanakuzunguka wanachukua pesa
Kwa kifupi Yale matendo maovu waliofanyiwa Africa kusini kunyanganywa ardhi Yao na kupewa makabuli Leo yanatokea Tz
INAUMA SANA UNAJUA, INAKELA SANA UNAJUA
 
Watupie macho pia taasisi za umma zinazoozwa kisiasa.
 
Haya ni matokeo ya kuuwa upinzani nchini,?
Upinzani unajiua na umejiua wenyewe kwa kukosa sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watu.ndio maana watanzania wameupuuza na kuudharau baada ya kuona ni wababaishaji na madalali wa kisiasa.
 
Usijali sisi tunamchora tu rais wao. Akijichanganya tu amekwisha. Amuulize tunddu lisu alivyolimwa mvua ya risasi. Mpaka sasa hana hamu
 
I consider this bullshit of highest order!
 
Hapo ushapata ulfu 20 yako safi kabisa
 
Hizo ni hofu zako,kwani Labour ya uingereza ilikuwaje,?waambie wenye hofu wenzio wetende Haki!Sio mbaya kikija kuwa chama Cha Siasa kama kitasajiliwa kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…