Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Wenzio Wana leseni za uwakili ndio maana wanajimwambafai, wewe hata ya biashara ndogondogo huna..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, hivi kwa nini hatuna maduka ya kuuza na kununua bunduki ki-sheria?Wasije wakampiga risasi tu kama walivyofanya kwa Tundu Lissu, maana hawa mabwege wakishindwa kuhimili hoja wanakimbilia bunduki.
Ujinga unakusumbuaWakuu, hivi kwa nini hatuna maduka ya kuuza na kununua bunduki ki-sheria?
Mkuu katika watu ambao ni wapumbavu wewe ni kiongozi waoUjinga unakusumbua
Unasema hivyo kwa sababu hujawahi kudhulumiwa na serikali. Mfano ardhi unaloishi limethibitika kuwa dhahabu watu wa serikali wanakufukuza bila kukulipa fidia hata mwekezaji akitaka kukulipa wanakuzunguka wanachukua pesaNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watupie macho pia taasisi za umma zinazoozwa kisiasa.Ndugu zangu Watanzania,

Upinzani unajiua na umejiua wenyewe kwa kukosa sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watu.ndio maana watanzania wameupuuza na kuudharau baada ya kuona ni wababaishaji na madalali wa kisiasa.Haya ni matokeo ya kuuwa upinzani nchini,?
Hakuna uzuri wowote ule walionao.Mbona mm naona TLS wako vzr tu hiyo ni kazi yao uoga wa nn jmn
Usijali sisi tunamchora tu rais wao. Akijichanganya tu amekwisha. Amuulize tunddu lisu alivyolimwa mvua ya risasi. Mpaka sasa hana hamuNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe huwezi kulinganishwa na Mwambukusi kwa kigezo chochote kile. Wa kulinganishwa na wewe wapo Milembe hospital. Lini chawa (Mwashambwa) alilinganishwa na mwanadamu mwerevu (Mwashambwa)!!Utaanzaje kunifananisha mimi na huyo mtu ambaye kazi yake ni kuropoka tu na mihemuko?
I consider this bullshit of highest order!Ndugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa dogo.Huyu namuona kama mauzinde fulani hivi
Hapo ushapata ulfu 20 yako safi kabisaNdugu zangu Watanzania,

Hizo ni hofu zako,kwani Labour ya uingereza ilikuwaje,?waambie wenye hofu wenzio wetende Haki!Sio mbaya kikija kuwa chama Cha Siasa kama kitasajiliwa kihalali.Ndugu zangu Watanzania,