Katikati ya kipi na kipi?Hii TLS imeshapoteza mwelekeo ipo biased badala ya kusimama katikati, hii ni ya kuipuuza it's useless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katikati ya kipi na kipi?Hii TLS imeshapoteza mwelekeo ipo biased badala ya kusimama katikati, hii ni ya kuipuuza it's useless
Kweni hilo Bunge ni la Baba yako?! Mwabukusi akishinda Uchaguzi anaingia kwenye Bunge letu la Wananchi.Unafikiri bungeni ni uwanja wa mazoezi kwamba kila mtu anaingia tu kufanya mazoezi? Nani mwenye akili Timamu anayeweza kumpigia kura ya ndio mwabukusi?
Ashinde kwa kura za nani na kutokea jimbo lipi? Unajuwa kuwa amewahi kutaka ubunge na akatupwa mtaroni kama jongoo? Au wewe ndio umemjuwa leo?Kweni hilo Bunge ni la Baba yako?! Mwabukusi akishinda Uchaguzi anaingia kwenye Bunge letu la Wananchi.
Bungeni wanaingia wenye akili Timamu na wanaojitambua vizuri.siyo kila mtu anaingia Bungeni kama sokoni.Mwabukusi akiingia Bungeni nitaanza "rasmi" kuangalia Bunge Live.
🤣🤣🤣🤣🤣TLS ya sasa imegeuzwa kuwa kama chama cha siasa kali na wanaharakati uchwara waliopoteza muelekeo na kushindwa kufikia ndoto zao.
Hahaha unujikwe wewe au ? Nimekuambia come to inbox buddahNimekwambia weka hizo sherei zilizokiukwa hapa ili nikujibu kwa hoja nzito mpaka ubakie unabubujikwa na machozi.
Yanga na Simba wameingia bungeni1🤣🤣Bungeni wanaingia wenye akili Timamu na wanaojitambua vizuri.siyo kila mtu anaingia Bungeni kama sokoni.
Hoja zipi alizonazo? Au kuropoka na kupiga makelele ndio unaita hoja?Tafuteni Musiba mpya apige propaganda dhidi yake kama hamna majibu ya hoja zake!!!
Simple tu!
Mumejaza "Mazezeta" Bungeni ambao wengi wameingia kwa AMRI ya MAGUFULI sisi WANANCHI safari hii tunaingiza Wabunge "Machachari" wenye UCHUNGU na NCHI hii TANZANIA.😀✊️✊️Bungeni wanaingia wenye akili Timamu na wanaojitambua vizuri.siyo kila mtu anaingia Bungeni kama sokoni.
Hawakukaa kwenye viti vya wabunge bali walikaa kwa wageni waalikwa. Sehemu ambayo hata wewe unaweza kukaa tu ukipata wa kukualika.Yanga na Simba wameingia bungeni1🤣🤣
Pumbaf kweli ww na badoNdugu zangu Watanzania,
Kuna hatari ninayoiona ikija kupitia chama cha wanasheria Wa Tanganyika yaani TLS.Naona ni kama kinataka kutolewa kutoka kuwa chama cha kitaaluma na kujigeuza kuwa chama cha siasa kali na kinachoweza kuivuruga serikali na hata kuleta Masuala yatakayochochea vurugu,chuki,uhasama na ubaguzi miongoni Mwetu kwa kupandikiza maneno ya uongo na uzushi.
Naona chama hiki kikigeuzwa kuwa pango la wanaharakati wenye nia ovu na kuvuruga amani ya Nchi yetu. naona kuna hatari chama hiki kikaanza kuwa uchochoro wa kupitishia maburungutu ya pesa chafu kwa ajili ya kufadhili na kuwafadhili watu ambao watatumika kuvurugu amani na utulivu wa Taifa Letu. Naona chama hiki kinataka kutumika kama kichaka cha kutolea matamko ya hovyo kwa mwamvuli wa TLS.
Ni Muhimu serikali ianze kutupia jicho lake la kijasusi na kiupelelezi kuangalia muenendo mzima wa shuguli za chama hiki ,kama zinafuata taratibu au ni mtu tu au kikundi cha watu na wafadhili wao nyuma ya pazia wanataka kukitumia chama hiki kwa maslahi yao binafsi kuvuruga amani ya Taifa letu
Nasema haya kwasababu nimeona chama hiki kinakoelekea siyo kuzuri kwa mstakabali mzima wa Aman na usalama wa Taifa letu. naona ni kama kinataka kitumiwe na wanaharakati uchwara na wenye ajenda ovu kwa kutumiwa na watu wenye mapesa yao kusukuma au kupenyeza ajenda zao kwa lengo ya kuivuruga serikali yetu na kuihamisha kiajenda pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwabukusi hawezi kuingia Bungeni hata kwa kusukumwa tu.ndio maana alipojaribu jambo hilo alifyekwa vibaya sana na kubaki na aibu kuu.Mumejaza "Mazezeta" Bungeni ambao wengi wameingia kwa AMRI ya MAGUFULI sisi WANANCHI safari hii tunaingiza Wabunge "Machachari" wenye UCHUNGU na NCHI hii TANZANIA.😀✊️✊️
Hana huo ubavu wala uwezo wa kuingia Bungeni. Bungeni ni kwa wenye akili Timamu ndio wanaokwenda kule.Mwabukusi lazima aingie MJENGONI DAADEKI....😄 HII NI NCHI YETU SOTE✊️
Wewe na Uzezeta wako ndio unaowapangia Watanzania kuingia Bungeni?!Hana huo ubavu wala uwezo wa kuingia Bungeni. Bungeni ni kwa wenye akili Timamu ndio wanaokwenda kule.
Kimepoteza kabisa dira yake na kutaka kujigeuza kuwa chama cha siasa.kwa hiyo ni bora ieleweke Kuwa ni chama cha siasa badala ya kukitumia kwa malengo ya kisiasa.TLS ni chama Cha kitaaluma ila limesha poteza lengo,kimekuwa kisiasa zaidi