Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Marekani ndio kimbilio la waafrika wote wenye shida,zaidi ya miaka kumi sasa nashuhudia haipiti wiki airport rundo la wakimbizi wacongoman wanaenda kuchukua maisha marekani.
 
Tatizo ninini? Kwasababu ni msaada? Ngano ya Ukraine inayouzwa Africa, majirani zao Poland wanasema hawawezi kulishia ata manyama na kuku zao...We kataa mchele na endelea kula chapati za unga toka ukraine.
 
Tungepiga kura tu tuwe sehemu ya overseas Jimbo la 53 la usa afrika ili tuwe na maendeleo kama walivyofanya mayote
 
Watoto hawaendi shule Kisha njaa wanashinda maporini kula mapera we uoni ufaulu na mahudhurio yataongezeka watoto wakitangaziwa ubwabwa mashuleni
Njaa imekatiza ndoto za watoto wengi sana kusoma nchini,halafu wapumbavu wanapinga.
Eti chakula kingi nchini mbona bei haikamatiki kama ni kingi.
 
Acha kunywa Pepsi,Coca cola ,Fanta,Mirinda ,Sprite naa jamii hiyo hizo soda zinatoka MareKANI.Inakuja Solution ya Ingredients toka USA hapa Tanzania wao ni kuongeza sukari na tu maji.
 
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
Nyie kweli mnafurahisha sana... sasa hapo mjinga nan mbona tunashindwa kuwaelewa?

Mjinga aliyetoa wazo la kuwa makini na hao mabeberu au mjinga anayeshadadia vitu vya kupewa bule ilhali nchi yake ina kila kitu?

TUache uchawa jaman pale inapobidi kuikosoa serikali bas hatuna bud kuikosoa

Hv kweli jaman inaingia akilini nchi yenye zaid ya miaka 60 ya uhuru mpaka leo hii inasaidiwa kuchimbiwa matundu ya vyoo?

Nchi yenye zaid ya miaka 60 ya uhuru leo hii inasaidiwa net?

Nchi yenye zaidi ya miaka 60 ya uhuru leo hii inachangiwa chakula?

Tanzania mna bandar za kutosha, mna bahar na maziwa ya kutosha, mna kila aina ya madini, mna mbuga za kutosha

Tanzania mna gas & uranium,

Tanzania mna ardhi yenye rutuba ya kutosha,

Tunalima mazao ya chakula na biashara pia

Tanzania tunafuga sana chakuskitisha tunaacha kuikosoa serikali kwamba tunanufaikaje na hizo raslimari zetu anakosolewa mtu kisa kakemea msaada wa maharage na mchele toka marekan wakati mbeya & morogoro tuna michele ya kutosha

Bila shaka ww ndugu yangu ndio una elimu ya vijuwen

Hauna sifa kabisa ya kuwa msomi

Kama ni kusaidiwa tusaidiwe kwenye mirad mikubwa ya kimkakat lakin sio kwenye matundu ya vyoo, net na chakula

We mwenye shule ambayo sio ya kijuwen ulisoma kwa msaada wa chakula cha marekan?

Tuache kukwepa majukumu kama vipi we changia tu mtoto wako awe anakula shuleni na sio kupitisha bakuli eti unataka mtoto wako ulelewe na mtu

Kiufupi jamaa aliyeweka uzi yupo sahihi sana
 
Kuna wapuuzi fulani wa dini wametoa ole kwa atakayewapa watoto wao huo mchele kupitia redio yao ya kipuuzi. Hao mazuzu yakiumwa yanatumia dawa kutoka marekani na kuna ndugu zao wa dini wanakimbilia marekani kuishi, halafu wao wanabaki kuambukizana ujinga
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
Hata madawa na chanjo mbali mbali tuache kununua huko ulaya, na Marekani, kwani sio salama, tukikataa chakula tukatae na madawa, maana kwenye dawa ni rahisi zaidi kutimiza lengo ovu kama wanalo!
 
Kuna wapuuzi fulani wa dini wametoa ole kwa atakayewapa watoto wao huo mchele kupitia redio yao ya kipuuzi. Hao mazuzu yakiumwa yanatumia dawa kutoka marekani na kuna ndugu zao wa dini wanakimbilia marekani kuishi, halafu wao wanabaki kuambukizana ujinga
Tanzania ina watu wapumbavu sana, bio genetic poison inaweza kuwekwa kwenye mitumba, madawa, project mbalimbali za kilimo, shughuli za kitafiti, na kwengi tu,hawa jamaa endapo wataamua kutufyeka ni dakika moja tu.
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
Acha porojo ndugu....wewe pesa unazo wanao wanakula na Kumwaga acha na wa wenzio wale washibe
 
Ujinga + ufukara = kujiangamiza. Fukara siku zote hudhani kuna mtu anamuonea husda. Ndiyo maana ukienda kwa waganga wa kienyeji asilimia kubwa ya wanaokwenda huko ni mafukara.
 
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.

Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.

Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.

Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.

Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.

Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.
vifaa tiba, dawa, chanjo, techonolojia yao, magari, wawekezaji na wafanyibiashara kutoka marikani ndio salama right 🐒

na waTz wanaishi marekani nao wako hatarini kula vyakula vya marikani, tuwapelekee chakula kutoka Tz right 🐒
 
Ni chuki dhidi ya Marekani tu. Wakati inachangia bajeti ya serikali ya Tanzania. Nendeni Marekani mkaone jinsi binadamu anavyotakiwa kuishi
Aisee unapajua marekani kweli au umesimuliwa? Marekani hii hii yenye homeless kibaoo ndio binadamu hao wanavyotakiwa kuishi? Kuwadanganye wajinga wenzako
 
Huo mchele umepewa jina, unaitwa mchele wa bashe, magufuli naye alipewa samaki, samaki wale wa wachina wakaitwa samaki wa magufuli. Sasa kama hawautaki huo mchele watupe sie wengine tuule tuone kama tutapata madhara
 
Aisee unapajua marekani kweli au umesimuliwa? Marekani hii hii yenye homeless kibaoo ndio binadamu hao wanavyotakiwa kuishi? Kuwadanganye wajinga wenzako
Hizo ni chuki zako dhidi ya Marekani tu. Ni Nchi gani duniani ambayo Haina homeless. Wewe huijui Marekani na hujafika ndiyo maana ulichosikia kuhusu Marekani ni homeless. Kule kuanzia miundo mbinu mpaka maisha ya binadamu ndiyo maisha yanayotakiwa kuishi binadamu duniani. Hiyo mitumba unayotumia unajua ni binadamu wa kule ndiyo alianza kuvitumia na baada ya kuvichoka na kuvitupa ndiyo wewe hapo unavitumia Kwa kuringa ukiwa ndani ya Nchi Yako. Aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom