Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo.
Marekani kwa muda mrefu sana ina kituo cha kijeshi Congo, na huko ndio lichukua Uranium iliyotengeneza bomu a kwanza la nyuklia. Congo kuna machafuko miaka nenda rudi, lakini Marekani hitaki Congo ipate amani ili iendelee kuvuna madini ghafi. Hapa nchini tunaelekea hukko huko, tuwe macho.
Leo Marekani wanatuletea vyakula, kwa ajili ya watoto, huku tukijua kuwa wana ajenda ya Africa Depopulation.
Vile vile tunasikia kuwa wana programme za kupunguza uzai kwa kiujumla nchi za Afrika.
Hapo ndio namsupport Magufuli, serikali isipuuze hizi habari kuwa policy ya Depopulation kwa nchi za Afrika ni jaribio la kulifanya bara hili kuwa sehemu ya nchi kama Marekani kuvuna tu malighafi.
Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.
Watu wana chinjana hapo, lakini kwa vile kunakampuni za marekani zinavuna madini bure kabisa, wayu wanaachwa wachinjane. Hiyo ndo Marekani.