Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Misaada ya ARV ni salama? Hizo chanjo je? Wakitaka kutumaliza unadhani hawawezi?
 
Hoja za kwenye tarawea hizo kisa chakula kimetoka marekani. Lingekuwa kimetoka uarabuni kingeitwa kitakatifu kama Yale matunda ya matende yanavyopambwa

Huko Uarabuni wanabugia huo wali wa USA .... Halafu hapa kwetu kuna watu wanajidai wajua dini kuliko waliotuletea.
 
Huko Uarabuni wanabugia huo wali wa USA .... Halafu hapa kwetu kuna watu wanajidai wajua dini kuliko waliotuletea.
Kwa mfano saudia ambalo wanaamini Ndipo epicenter ya Mungu wao ilipo ambapo Sala zote, maziko huelekea uelekeo huo, ambalo huenda Kila mwaka kulizunguka jiwe kuu na kumrushia mawe shetani baye huwa yupo hapo hapo siku zote akiwasubiri na hata wa mwaka huu wakimpiga mawe ,wa mwaka kesho wanamkuta pale pale na kumpiga tena, Huwaambii chochote kuhusu Marekani
 
NGO ndio zinakuja kujisajili sio kwamba wanaitwa na mtu. So they are obligated to abide to host nation rules.

Otherwise siku serikali ikitaka msaada wa chakula itaitangazia dunia, vinginevyo operation zao zifuate taratibu za sheria na customs za nchi.

This arguments can be long in justifying the positions both zako na zańgu. Naona huko mbele tukifika kwenye hoja zą kipi muhimu kati kumsaidia mkulima wa mchele kutoka Ruvuma au California kama hao USaid wanataka kuleta national impact kwenye misaada yao.

For now kwangu muda wa majukumu till next time.

Good afternoon 👋
Jua kuwa serikali yetu ilishapitisha sheria kuwa bahadhi ya vyakula ni lazima viongezewe virutubisho. Unga wa mahindi, unga wa ngano, unga lishe kwa ajili ya watoto, na vyakula vingine kibao. Kama ni ubora TBS kashasema havina shida.
Tatizo kubwa kwa serikali zetu ni kuamua tubaki kwenye ufukara, Tanzania siyo ya kupewa msaada wa mchele na kanchi kama Vietnam. Namkumbuka balozi mmoja wa Misri hapa Tanzania, wakati amemaliza muda wake anaaga kurudi kwao ,alisema maneno yafuatayo "kama Misri ingepewa asilimia 10 tu ya vyanzo vya maji vilivyopo Tanzania, ingelilisha bara zima la Afrika kwa chakula"
 
Hawa watu hawajui kuwa hata huu mtadao wanaoutumia kuwasagia Wamarekani ni wa Wamarekani?

Wamarekani wangetaka kutuua wangetuua tangu miaka ya mwanzo ya 1980s tulipopewa unga wa Yanga.

Hizi ni siasa za mazingaombwe za watu masikini wanaotafuta mchawi tu kujisahaulisha matatizo yao wenyewe.
Wangeweza kutumaliza kabisa miaka ya 60 huko, wakati wa chanjo ya polio.
 
Doesn’t add up mchele wenyewe by nature una ‘starch’ source muhimu ya kuupa mwili nguvu.

Sasa wao wameenda kuongeza kirutubisho gani tena kwenye huo mchele hapo ndio sintofahamu ilipo.

Wapeleke Sudan, Palestine, Ukraine na Haiti watakuwa wanamahitaji ya chakula zaidi kuliko Tanzania.
Mbona hao wameleta unga was uni watoto wametumia Mika mama huo unga wa uji wamechanganya Mila kitu sukari maziwa Kila kitu huwezi pikia ugali na huo Michele umewekwa ladhaa ga nyama Kila kiungo unachemsha nakuweka mafuta basi wanatujua wabongo wasipofanya hivyo hautafikia walengwa Mika ya Kennedy tulitewa ngano. Na mafuta mbona full fresh basil Leo tatizo watch wameweka mbele Imani za dini na kuichukia america bure
 
Jua kuwa serikali yetu ilishapitisha sheria kuwa bahadhi ya vyakula ni lazima viongezewe virutubisho. Unga wa mahindi, unga wa ngano, unga lishe kwa ajili ya watoto, na vyakula vingine kibao. Kama ni ubora TBS kashasema havina shida.
Tatizo kubwa kwa serikali zetu ni kuamua tubaki kwenye ufukara, Tanzania siyo ya kupewa msaada wa mchele na kanchi kama Vietnam. Namkumbuka balozi mmoja wa Misri hapa Tanzania, wakati amemaliza muda wake anaaga kurudi kwao ,alisema maneno yafuatayo "kama Misri ingepewa asilimia 10 tu ya vyanzo vya maji vilivyopo Tanzania, ingelilisha bara zima la Afrika kwa chakula"
Umeshaambiwa mchele upo ndani ya Tanzania tena na wenyewe umeongozewa virutubisho kama unavyodai.

Sasa kwanini waache kununua huu wa Tanzania ambao mbegu zinajulikana zilipotoka, pestcide na mbolea zilizotumika wakalete mchele kutoka huko kusikojulikana.

Wewe huo mchele unaotetea walishwe watanzania unaweza kutuambia umetoka shamba gani? Mind you dunia ya leo hata bidhaa za chakula zinatakiwa kuwa traceable hadi shambani.

Tungeanzia hapo kwanza.
 
Tulipoamua kutokujitegemea licha ya kuwa na rasilimali zote muhimu ni upumbavu mkubwa sana kuwahi kutokea. Sasa tunaanza kuwapangia watoa msaada nini cha kufanya. Yaani ardhi yote hii yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, utulivu uliopo hapa nchini bado tunapewa mchele na viinchi kama Vietnam. Kama Taifa tumeshafeli kitambo, na haya ndiyo matunda ya kufeli kwetu. Tunakubali hata misaada ya kujengewa vyoo mashuleni, hata chanjo za magonjwa yote zinatoka kwao.
Yaani leo ghafla tu tumeamua kukomaa na mchele!!!. kwamba tunajua hata hizo chanjo na madawa yote tunayopokea kwa vifijo na nderemo kama viko salama?. Kwamba mtu mzima leo hii unafikiri huo mchele ndio unachangia tabia za kishoga? kwamba kupitia madawa na chanjo ambazo kila mtu lazima achanjwe, wangeshindwa kufanya hayo tunayofikiri tutayapata kwenye huo mchele!!!. Ukiamua kuwaachia akili zako wanasiasa wa nchi hii, unakuwa huna tofauti na wanaokabidhi akili zao kwa wahubiri uchwara wanaoibuka kila kukicha
 
Mnatumia google ya mmarekani,unatumia google ya mmarekni,umeshadungwa michanjo ya mmarekani,unakunywa dawa ya mmarekani na usikute hapa umekomenti kwa kutumia simu ya mmarekani ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firani,wabongo ni wajinga sana acha ccm itawale milele tu
Usipende kuzoea kubebwa, kuna gharama utalipa tu.
 
Tulipoamua kutokujitegemea licha ya kuwa na rasilimali zote muhimu ni upumbavu mkubwa sana kuwahi kutokea. Sasa tunaanza kuwapangia watoa msaada nini cha kufanya. Yaani ardhi yote hii yenye rutuba, vyanzo lukuki vya maji, utulivu uliopo hapa nchini bado tunapewa mchele na viinchi kama Vietnam. Kama Taifa tumeshafeli kitambo, na haya ndiyo matunda ya kufeli kwetu. Tunakubali hata misaada ya kujengewa vyoo mashuleni, hata chanjo za magonjwa yote zinatoka kwao.
Yaani leo ghafla tu tumeamua kukomaa na mchele!!!. kwamba tunajua hata hizo chanjo na madawa yote tunayopokea kwa vifijo na nderemo kama viko salama?. Kwamba mtu mzima leo hii unafikiri huo mchele ndio unachangia tabia za kishoga? kwamba kupitia madawa na chanjo ambazo kila mtu lazima achanjwe, wangeshindwa kufanya hayo tunayofikiri tutayapata kwenye huo mchele!!!. Ukiamua kuwaachia akili zako wanaisasa wa nchi hii, unakuwa huna tofauti na wanaokabidhi akili zao kwa wahubiri uchwara wanaoibuka kila kukicha

Ujajibu swali huo mchele unaotetea unajua umelimwa wapi?

Sehemu kubwa ya vitu unavyoorodhesha dawa, chanjo au hela uwa ni mikopo sio bure. Na hata hizo dawa zinazotolewa na NGO manufacture anajulikana.

Halafu sets zote sio sawa hii sio scenario ya ‘beggars can’t be choosers’ permanently.

Hakuna mtu alieomba chakula ni hao NGO wenyewe wameleta na sidhani kama wameomba kibali cha kuingiza chakula vinginevyo huu mtafaruku usingekuwepo leo. Uwezi kwenda nchi moja ukaingiza tu bidhaa without their government consent, hiyo ni violation of sovereign rights ya nchi.

Serikali aijakataa hao watu kusaidia ilichoshauri kwa hiyo NGO ni kwamba ingeongea na wizara kwanza inataka kuleta chakula kupeleka msaada, wakapewa taratibu, hao wenyewe NGO wamekiri kuingiza chakula bila ya consent ya serikali ni makosa. Hayo maelezo amenukuliwa waziri akisema public what transpired.

Sasa ajabu kuna kundi mną tetea lazima watu wale huo mchele (si ajabu ndio itakavyoishia), lakini kwa serikali hawataki haya mambo yajirudie huko mbele, taratibu za kuingiza bidhaa hasa chakula zinataka vibali vyao. Serikali ya Tanzania ndio inajukumu la kulinda watu wake sio ya nchi nyingine yoyote.
 
Mkuu imetosha, uwe na mchana mwema mzuri kabisa
 
Vipi misaada ya kujengewa vyoo ni salama? Vipi Vyandarua? vipi Chanjo? Hii nchi ina raia wajinga hadi aibu,SIkiliza wewe mjinga, Marekani wakitaka kuwauwa wana njia zaidi ya hata million, Kila unacho tumia hapo ni cha kwao, Tutafute elimu, tuachane na elimu za vijiwe vya kahawa
Raia wa Tanzania sio WAJINGA wewe ndio kiongozi wa WAJINGA tena MJINGA mkubwa, eti marekani wakitaka kutuua wana njia sijui ngapi? watuue mara ngapi JINGA wewe wako kazini kutuua tayari! hawa mashoga tunaowaona sehemu za starehe unadhani wana uwezo wa kuzaa tena hawa? au na wewe ni shoga tayari! marekani wanaangamiza kizazi chetu, au hadi MTOTO WAKO awe SHOGA asilete MJUKUU nyumbani kwako ndio utaelewa somo MJINGA mmoja wewe! taasisi za serikali na serikali yenyewe ndio wametekwa si wanashindwa kujitegemea lazima wakubali kila kitu sisi wananchi wajukuu wa MKWAWA NA NYERERE hatutaki misaada ya aibu hata sijui vyoo hatutaki , bora tuitwe tufanye maendeleo wenyewe tatizo viongozi wamelala wanashindwa kutuunganisha tufanye maendeleo hata mara moja kwa mwezi tuepukane na misaada ya fedheha, sisi wananchi hatutaki vyandarua vya msaada hatutaki vyoo vya msaada hatutaki mchele wala maharage ya fedheha ni viongozi wamelegea sana MJINGA MKUBWA wewe utukome watanzania.
 
HABARI ZA ZIADA

Chakula cha mazao ya GMO(Genetically Modified foods)

China CCTV finally admitted it! Cancer is increasing because...

The GMO grown food is shocking!
Every Chinese person should have the right to know.

The truth is finally out.

Large-scale tumor outbreaks are related to genetically modified foods!

This is a decisive change: Everyone must read carefully when going to the supermarket:
Barcodes starting with "8" are genetically modified products!

No matter how much experts advocate that genetically modified foods are harmless, we must remember the following ten points:
1. Americans don’t eat it.
2. The EU absolutely prohibits it.
3. The system of specially providing such food for Chinese officials is strictly prohibited.
4. GMO grown foods are strictly prohibited at the World Expo.
5. They are also strictly prohibited in the Asian Games
6. Africans will not import GMOs even if they starve to death.
7. They are strictly prohibited in the Universities.
8. Russia confirmed that genetically modified food has caused the extinction of animals for three generation.
9. They are prohibited in Kindergartens of the Ministry of Agriculture.
10. They are prohibited in the canteen of the Ministry of Finance.

"Read labels clearly when buying imported fruits:
5-digit codes starting with 8 are genetically modified products. Do not buy them."
The labels on imported fruits are called PLU codes. The four-digit codes used generally start with "3" and "4", indicates that the crop is grown using traditional methods;
if it is five digits and begins with "9", it is organic;
if it begins with "8", it is genetically modified.
Please note that for your own good you have to educate yourself on food hygiene knowledge and do not rely on the government or enterprises!

I never ask others to forward anything, but for this article, I ask everyone to forward it, and forward it quickly!
Show it to your family and friends. One more person will see it and one less person will be harmed.

This relay of love should not be delayed in your hands!🥺🥺🥺
 
Misaad yenye wapi na wapi.walituibia dhahabu enzi za ukoloni then wanajifanya wanatupa misaada.shenzi
Huu userious ungeuweka kwa viongozi wako kama nchi tungekuwa mbali mnapambana na adui asiye sahii miaka ya 1960s tunapopata uhuru tulikuwa sawa na nchi nyingi za kiafrika kiuchumi lakin baadhi zimesonga mbele kiasi na wote tuliibiwa hzo dhahabu kwann sisi tuwe tegemezi?? Unapaswa kulaumu viongozi wako wanaokopa na kuomba misaada sio anayekukopesha na kukusaidia boss
 
Back
Top Bottom