Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Huo mchele umepewa jina, unaitwa mchele wa bashe, magufuli naye alipewa samaki, samaki wale wa wachina wakaitwa samaki wa magufuli. Sasa kama hawautaki huo mchele watupe sie wengine tuule tuone kama tutapata madhara
Unajua watu wanasema tunazalisha mchele mwingi. Je mnazalisha na kugawana Kwa watu wenye uhitaji na uhaba wa Chakula. Lishe katika familia nnyingi ni ngumu sana. Watu wanakula mlo mmoja na watoto wengi wanakwenda shule bila kula chochote mpaka mchana au jioni akirudi nyumbani, na anaweza kurudi nyumbani akakuta swaumu bila mfungo kamili. Halafu watoto wengi wanatembea umbali mrefu kwenda shule na kurudi nyumbani. Utakuta wengi wanasimamisha magari njiani wapate msaada wa usafiri, Chakula na usafiri ndiyo changamoto kubwa inayowaathiri wanafunzi wengi kutokuwa makini kwenye masomo.
 
Upuuzi mtupu. Huo ni mtazamo wako tu. Hakuna mahali umetoa mfano hata mmoja wa madhara ya misaada ya chakula ya Wamarekani kwa Waafrika. Weka mfano halisi hata mmoja wa hatari ya kupokea chakul cha msaada kutoka Marekani.
 
Nchi inawatu wajinga sana hii,huna unacho jua we mjinga
 
Pole kwa kumuamini mtu ambaye anakutaka uwe shoga.
 
Mleta uzi ni zaidi ya kilaza
 
Wametuletea chakula Dodoma kwa ajili ya watoto, tuwe makini sana. Watatupendaje, hasa watoto, kuliko kuwaondolea adha waKongo? Kuna ka nchi kanaitwa Haiti, si mbali na Marekani.
Jamani hawa USA sio wajomba zetu!
Haya majitu ni wauaji na mashetani!
Hiki wanachosema ni msaada sio msaada bali kilio huko mbeleni!
Tuache uzuzu dhidi ya bidhaa za hawa watu!
 
Jamani hawa USA sio wajomba zetu!
Haya majitu ni wauaji na mashetani!
Hiki wanachosema ni msaada sio msaada bali kilio huko mbeleni!
Tuache uzuzu dhidi ya bidhaa za hawa watu!
Asante bro
Kuna watu wanajitoa kiakili na kushabikia hiyo misaada isiyo na tija.
Majuzi kule Bagamoyo DC amewafukuza NGO iliyokuwa inatoa chakula kwa watoto, lakini malengo yao haswa ilikuwa kuwaa chakula na kufundisha ushoga.

Siji watanzania tutaokokaje na hii mentality ya kimasikini.
 
Jamani hawa USA sio wajomba zetu!
Haya majitu ni wauaji na mashetani!
Hiki wanachosema ni msaada sio msaada bali kilio huko mbeleni!
Tuache uzuzu dhidi ya bidhaa za hawa watu!
Una kiwango gani Cha elimu
 
Una kiwango gani Cha elimu
 
Ukiwa na mawazo mafupi wala hujui adui yako anatokea wapi!
 
Ukipewa nafasi ya kwenda kuishi marekan utakimbia utaacha watoto na mke ila chakula chao ni sumu
Tuache kua na mawazo finyu na pungufu uyo marekan km akitaka kuwauwa waafrica ananjia nying sana ata zingne huweZ zifikilia
Leo hii wabongo tunanufaika na USaids inatoa madawa ya ukimwi nankusaidia waathilika km wangetaka kutuuwa wangeweka sumu ata kwa ARV
LEO hii kumekua na kasumba ya kumtusi mzungu na kumtukuza mchina wakat weng ya wapondaji wakipewa nafasi ya kuishi kati ya marekan na china weng watakimbilia marekan
 
Kuna watu mkielekezwa kibla kabla ya kuchinjwa hamjielewi kabisa.
Mmarekani akulishe wewe kwa upendo gani?
Endelea kuropoka ilhali Mecca inalindwa na wanajeshi wa Marekani. Endelea kuburudika na soseji za nyama ya kitimoto


Nipo namsikiliza MBS kuhusu hadithi za mtume
 
Wabongo bn kuna mda mnakuwa serious na fununu za kijinga marekani ikiamua kuua nchi nzma hata wiki haipiti mavyandarua wanatoa wao na watu wanapewa bure madawa ya malaria yanatoka huko serikali inapokea hyo misaada kwa mda mrefu haya ARV Wanatoa wao bure tena kwa mda mrefu kabla ya hzi ARV nafkiri mnajua ngoma ilivyokua inasomba watu

Nenda muhimbili vifaa tiba vingi utaona vina nembo ya USAID haya miradi ya maji vijijini mingi wanafadhili wao umeme wa REA vijijini wanasapoti wao leo hii mnataka kuwaona wabaya asilimia mia

Ni kweli hawa wazungu wanatugharimu kama nchi kutokana na misaada yote hiyo lakini chanzo sio wao ni viongozi wetu wanakosa uzalendo mbn magufuli baadhi ya misaada alikuwa anakosoa hdharani
 
Tuwe waangalifu, kitu cha bure gharama!
Mnatumia google ya mmarekani,unatumia google ya mmarekni,umeshadungwa michanjo ya mmarekani,unakunywa dawa ya mmarekani na usikute hapa umekomenti kwa kutumia simu ya mmarekani ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firani,wabongo ni wajinga sana acha ccm itawale milele tu
 
Sasa ukisaidiwa hayo unayoyaona madogo unamlaumu anayekusaidia au unailaumu serikali yako kwa uzembe watoto mashuleni wameletewa chakula nyinyi mnazusha yana yana dawa mna ushahidi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…