Serikali iwe makini; misaada ya vyakula Marekani si salama

Ngoja nikuache maana upeo wako mdogo
 
Kule mkoa wa Mara, Wamarekani wamekuwa wakiwalisha watoto wa Shule za Msingi chakula kutoka Marekani kwa zaidi ya miaka kumi sasa kupitia shirika lisilo la kiserikali la PCI. Leo mnaletewa Dodoma mnajifanya wajuaji? Kwani watoto wa Mara wameathirika nini?
 
Kwani mwili unahitaji starch peke yake? vipi kuhusu madini na vitamini
 
Acha kudanganya watu bwana kwani Uganda na Rwanda wanaoiba madini pale goma ni watu wa Marekani?kwani nyie wagogo ni wavivu kwa asili sasa kama hamtaki msaada acheni mfe na njaa.
 
Kwani mwili unahitaji starch peke yake? vipi kuhusu madini na vitamini
Kila chakula kina nutritions zake za asili to increase richness njia pekee ni kupitia ‘genetic modification’.

Sasa wewe unajua huo mchele umelimwa kwa njia ya asili au GM; usiwe mwepesi kuwa guinea pig wa vyakula vyao.

Halafu waziri amekuwa clear hana shida na kupokea msaada ila Tanzania aina shortage ya mchele. Wao kama wanataka kusaidia kaya maskini au sijui wapi huko wanapotaka kupeleka hiko chakula wangeongea na NFRA ili wąsiende kulanguliwa huko mtaani wawauzie mchele wapeleke wanapotaka.

Kwani USaid huo mchele si kuna sehemu wamenunua na kusafirisha hadi Tanzania kipi kimewashinda kutumia hizo hela kununua mchele wa Tanzania wasituletee mambo ya Monsanto.
 
Si kweli kuwa njia pekee ni kufanya modification. Fortification ndio njia kuu ya kuongeza virutubisho na inatumika nchi nyingi tu duniani, ikiwemo Tanzania. soma hiyo
 
Still tampering with nature, wameshaambiwa Tanzania mchele wa kununua upo awaitaji kuleta kutoka nje. Tena wakifanya hivyo wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, mkulima anapata hela, hao walengwa wanapata chakula na serikali inapata kodi.
 
Mkuu, yaani bado unawaamini wanasiasa uchwara wa nchi hii? Njia kuu ya kuhakikisha makundi maalumu kwenye jamii yanapata virutubisho vyote ni kupitia fortification. Yaani haya mambwa mwitu yatumiwe hela yakanunue mchele? ebu jitafakari upya. Tatizo linaweza kuwa si uhaba wa mchele, bali uwezo wa wananchi kuununua hup mchele.
Dunia inabadilika sana, nature haiwezi kuhimili ukuaji mkubwa wa population na wakati resources zingine zinaendelea kuwa limited.
 
Wacheni tule bana yatajulikana tumboni - mbona mengine tena ya hatari zaidi mnayachekelea tu huku siku zikisonga.
 
Hakusema wananchi wakanunue mchele, alichosema hiyo NGO ingeongea na serikali ikawauzia huo mchele wapeleke wanapotaka ndani ya Tanzania.

USaid aina mashamba na sidhani kama US kuna mashamba ya mpunga or atleast aijulikani duniani kama exporter wa mchele. Kwa hivyo kuna sehemu wametoa hela ya kununua huo mchele na hayo magunia.

Wangeweza kufanya kitu hiko hiko Tanzania mchele upo na magunia yapo na serikali ina uhakika zaidi wananchi wake wanalishwa bidhaa gani.
 
Umeamua kwa hiyari yako kuwa ombaomba halafu unataka uweke masharti. Marekani anazalisha mchele wa kumtosha na kuexport nje
 

Nilianza kuwagopa pale walipomuua OSAMA BIN LADEN kwa kutumia DNA ya ndugu yake kumsaka aliko.Yani kumbe alishachuliwa DNA yake bila kujijua au alikuwa anajua na ndugu alichukukuliwa DNA bila kufahamu kwa kutumia fake vaccine.nilisoma mahali sijui kama ni kweli
 
NGO ndio zinakuja kujisajili sio kwamba wanaitwa na mtu. So they are obligated to abide to host nation rules.

Otherwise siku serikali ikitaka msaada wa chakula itaitangazia dunia, vinginevyo operation zao zifuate taratibu za sheria na customs za nchi.

This arguments can be long in justifying the positions both zako na zańgu. Naona huko mbele tukifika kwenye hoja zą kipi muhimu kati kumsaidia mkulima wa mchele kutoka Ruvuma au California kama hao USaid wanataka kuleta national impact kwenye misaada yao.

For now kwangu muda wa majukumu till next time.

Good afternoon 👋
 
kuna familia nyingi kula wali ni anasa na ufahari, mchele hawauoni, sasa hao wapuuzi wanaosema kuna mchele mwingi na hawahitaji mchele wa msaada uko wapi huo mpunga? Kama upo tuone watoto mashuleni wakila
 
Hii nchi wapumbavu mpo wengi sana
 
Misaad yenye wapi na wapi.walituibia dhahabu enzi za ukoloni then wanajifanya wanatupa misaada.shenzi
 
Hata Internet Ni yao pia wakitaka kuswitch off Wana switch off from US........

Binafsi tusaidiwe kwenye angle zingine zingine Ila sio kwenye CHAKULA hapo nasema big NO

"""THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERICA"""

NI FEDHEHA KUBWA NA AIBU SISI KAMA TAIFA KUSAIDIWA VYAKULA HAPANA WAPELEKE HUKO UKRAINE, GAZA, SUDANI NA CONGO DRC
 
Hawa watu hawajui kuwa hata huu mtadao wanaoutumia kuwasagia Wamarekani ni wa Wamarekani?

Wamarekani wangetaka kutuua wangetuua tangu miaka ya mwanzo ya 1980s tulipopewa unga wa Yanga.

Hizi ni siasa za mazingaombwe za watu masikini wanaotafuta mchawi tu kujisahaulisha matatizo yao wenyewe.
 
Una ukweli lakini wenye ukakasi.
Unga wa yanga kama unavyojulikan ilikuwa 1974, tuliula kwa wingi baada ya kutokea ukame usio wa kawaida.

Siasa za Marekani zinabadilika kulingana na nani yuko madarakanai.
Siasa za Marekani zinazolingana na nchi nyingiza mgharibi, ni kujaribu kupunguza population za watu weusi "kwa njia za kistaarabu".

Hata ndani ya Marekani , watu weusi waliambukizwa syphillis kwa makusudi ili wawe guinea pigs wa ku study ugonjwa.

The Tuskegee experiment began in 1932, at a time when there was no known cure for syphilis, a contagious venereal disease. After being recruited by the promise of free medical care, 600 African American men in Macon County, Alabama were enrolled in the project, which aimed to study the full progression of the disease.

The participants were primarily sharecroppers, and many had never before visited a doctor. Doctors from the U.S. Public Health Service (PHS), which was running the study, informed the participants—399 men with latent syphilis and a control group of 201 others who were free of the disease—they were being treated for bad blood, a term commonly used in the area at the time to refer to a variety of ailments.


THE NATIONAL ARCHIVES
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…