Serikali kama imeshindwa kutengeneza ajira kwa vijana, ijiandae kujenga magereza mengi

Kwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
 
Kwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
Unasema kweli mzee hata mwitikio wa wazazi wengi kupeleka watoto sekondary umekuwa mdogo.

Huku nilipo wakuu washule mpaka wanawafuata wazazi majumbani kuwapelekea join ila wapi.

Walitangaziwa form one kuripoti kuanzi juzi ila mpaka sasa hakuna aliyeripoti.
 
Salute to you commander πŸ‘πŸ‘πŸ˜€,..huwa nafurahi kuona mtu anapambana na hakati tamaa,....
 
Acheni kulialia maisha hayajawahi kuwa maraisi, anzeni kunata na biti.

1.Badala ya kupoteza mamilioni ya pesa kuwasomesha watoto mashule ya English medium.Jitahidi watoto wako uwasomeshe shule zenye ada isiyofika million zipo shule nyingi tu wewe zingatia ufaulu uwe wa wastani kupanda juu.Kama unaona hata hizi laki huna mpeleke kayumba ila mfatilie na uzingatie apate mwalimu wa ziada kumboost.

2. Hakikisha mtoto wako akimaliza darasa la saba badala ya kukaa nyumbani na kula bure kulala na kuangalia sizoni, mpeleke VETA akasome fani yoyote ya mda mfupi akimaliza kama bado mda upo mpeleke akasome mambo ya CODING na computer awe fiti. Hii ni moja ya uwekezaji bora kuliko kwenda PRE-FORM ONE.

3.Msubiri tena mtotoa akimaliza form four mwendo ni ule ule asome shule za chini ya millioni au kama huna ni Kayumba tu.Akimaliza form 4 usipeleke mtoto PRE-FORM 5 unapoteza muda na pesa. Huu ni muda wa mtoto kupata ujuzi, mpeleke VETA akajifunze ufundi wowote wa muda mfupi, muda ukibaki asome na CODING na mambo ya computer tena..Huu ndo urithi na shortcut ya kujikwamua kwa watoto wa maskini na wale middle income.

4.Kama utampekeka collageπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺna hapa wazazi wengi wanafeli( hapa mtoto akifika form 4 kabla ya mtihani wa taifa kuna OPTION zinatolewaga za wanafunzi wanaopenda kwenda TECHNICAL COLLEGES kujaza form,sasa kizaazaa ni kuwa wazazi hawashirikishwi na wanafunzi hawana exposure wala future ni kufata mkumbo tu na wao wanataka kwenda 5$6πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„,hivi vyuo wanavyojaza huwa ni vya serikali na ada huwa ni nafuu sana. Hivyo mzazi mjanja na mwanafunzi GENIUS hapa anaangalia fursa kama hii anapita nayo,wale bendera fata mkumbo huwa wanajuta sana maana hii CHANCE ya kupata vyuo vya serikali huwa ONCE IN A LIFE TIME LABDA URISITI FORM-4) ilaKama ukiona form 5 ndo chaguo lenu akimaliza 6 mwendo ni huohuo peleka VETA akachukue ujuzi mwingine. Baada ya hapo huyu mtoto hawezi shindwa hata kujilipia ada ya chuo maana anakitu ambacho muda wa ziada anaweza fanya akajiingizia hela kuliko akiwa chuo muda wa ziada anawekeza kwenye ujinga ujinga na mapenzi.Pia wala hutasikia akianza kulialia kuhusu ajira baada ya chuo.

5.Sasa mtu atauliza ulikuwa unabania hela mtoto asisome shule nzuri, hela unapeleka wapi. Naam hela unapeleka kununua viwanja, kuwekeza kununua bond za serikali,UTT BONDS,HISA TBL,HISA TCC nk. Hivi ndio vitu mzazi unamuandalia mwanao au wanao ili kuvunjilia mbali mnyororo wa UMASKINI. Hata siku anamaliza shule anakosa kazi. Unaamua mtoto anataka mtajia wa kufungua let say WORKSHOP yake kulingana na ujuzi ni swala la kusukuma kiwanja kimoja au viwili unakuwa umemsaidia kuliko kuendelea kuimba ngonjera za kuwezeshwa kwa mikopo ya riba na upuuzi kama huo.

6.Hakikisha watoto wako wanamiliki passport na wanajua kuendesha gari. Maisha yakiwa hamna Bongo waweze kwenda hata huko duniani hawawezi kosa maisha maana kwanza wanaujuzi mbalimbali.

🚨🚨🚨Hii ni mbinu(LIFE HACK) ambayo mzazi akiitumia wala hawezi kujutia.

,#kupanga ni kuchagua!!!

LIKUD mzabzab Robert Heriel Mtibeli viongozi wapeni vijana wa kileo miongozo🀝
 
wadogo zako wasifanye kama wewe jitahidi wapite VETA wakachukue ujuzi, ili wakimalia elimu zao wasiwe tegemezi na kuanza tena kuzungusha bahasha.
 
Mi nawashauri vijana wenzangu wajitahidi kutafuta vyanzo vya pesa wakiwa vyuoni na pia wajifunze kuweka akiba ya pesa zao na pia wajitahidi kujifunza vitu vipya nje ya course zao ambavyo vitamsaidia kuongeza kipato. Chakuongezea vijana mnaosoma au wenye age ya 20 something achana na mademu.
 
Kwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
Shida mfumo wetu wa elimu unamuandaa mtu kwaajili ya kuajiriwa wanafunzi wengi wanawaza "nitasoma kwa bidii then nitapa ajira nzuri alaf nitajenga nyumba ya kuishi na kununua gari" hawawazi nje ya hapo. Mzazi kaa na mwanao umuelekeze jinsi maisha yalivyo hakikisha unaondoa mindset yake ya kuajiriwa.
 
Ndugu yangu; Ukipata nafasi ya kumshika kijana mmoja mkono na kumuinua juu, usisite. Vijana tunapitia mengi. Mungu atakulipa.
Kabisa aisee....

Muhimu sana hili ....
 
Kwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
SHTUKENI ACHENI KUWATAJIRISHA WENYE MASHULE YA ENGLISH MEDIUM,PELEKENI WATOTO VETA,MTAOKOA MUDA,PESA NA KUPUNGUZA MALALAMIKO.

TATIZO WATANZANIA WENGI WANAISHI KWA KUIGANA(FASHION LIFESTLE)KITAWARAMBA SANA!!!!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ MNAONA UFAHARI KWENDA KUTUPA MAMILIONI HUKO ENGLISH MEDIUM.

MTOTO ANAMALIZA SHULE KITU PEKEE ANARUDI NACHO NYUMBANI NI BROCKEN ENGLISH🀣🀣🀣 NA KARATASI( CHETI) AMBACHO KWA MUDA HUU HAKITAMSAIDIA CHOCHOTE.MAANA HANA EXPERIENCE WALA SKILLS ZOZOTE NA MTAANI WENYE ELIMU WAPO WENGI NA WANAAJIRIWA KWA UJIRA WA NYANYAπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

KUNIELEWA ZAIDI PITIA COMMENT YANGU #26

#LEARN OR PERISH!!!!
 
🀝
 
Salute to you commander πŸ‘πŸ‘πŸ˜€,..huwa nafurahi kuona mtu anapambana na hakati tamaa,...

Salute to you commander πŸ‘πŸ‘πŸ˜€,..huwa nafurahi kuona mtu anapambana na hakati tamaa,....
Bro maisha ni mapambano sasa vijana wa leo wakiona mtu yupo kwenye kazi ana drive wanadhani maish ni lelemama .mimi niliweka digrii pembeni nikaingia mtaani.


Leohii mtu akiniona anahisi sijapitia mambo magumu kiss mwili soft na kakitambi kadogo.

Takuja kuandika historia yangu humu ilikuwafundisha vijana maisha yalivyo na wajue kuwa na digrii suo kufanikiwa kimaisha
 
Kuna watu wanazo nafasi za kuwainua wengine lakini unakuta wao ndio wanakuwa vikwazo
Njia pekee ya kumuinua kijana nikumpa experience uliyonayo kwenye maisha na kumfundisha jinsi ya kupambana na maisha si lazima umpe pesa ndo uonekane umemuinua.
 
Hongera broh. Ni kweli siku moja Mungu akikujalia utushirikishe hizo struggle tung'amue kitu.

Lakini pia wapo vijana wengi wahitimu wanaoamua kuweka shahada zao pembeni ili wafanye mambo mengine lakini bahati mbaya hawana miongozo yoyote. Wanabaki na plans nyingi kwenye vichwa vyao
 
Kwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
Elimu yetu inashida. Inamuandaa masikini kuwa masikini na tajiri kuwa tajiri. Leo mtoto anayesoma Feza schools anafundishwa kurusha ndege lakini anayesoma Shule ya Msingi Chanika anafundishwa kupika maandazi na chips kwenye stadi za kazi
 
Madini ya kutosha haya.
 
Inawezekana changamoto kubwa ya umasikini inaanzia kwa wazazi. Wanamuandaaje kina na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…