Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Ila mkuu hujalazimishwa kununua... Waache tu kila MTU na maisha yake hao wameamua kutokuwa wanafki yofauti na wengine ambao wapo na kazi nyingine lakini hupewi tunda mpaka uwahonge...

Hawa nao nani atawatoza kodi?... Nadhani ni bora kukaa kimya kama serikali ilivyoamua na inavyo semekana hawa wanaojiuza wanafatilia sana matumizi ya kinga tofauti na watu wengine... Wale wanaojifanya watakatifu ndo wanaongoza kuambukiza wengine wakiongozwa na kundi la wanandoa...[emoji848][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ukaizuia biashara kama hiyo, wateja ni wengi sana, hata ungekuwa Rais wa nchi usingeweza labda ungedhibiti mikusanyiko lakini migegedo ingekuwepo tu, labda bar zifungwe ili serikali ikose mapato
 
Wanajiuza hadhari lakini wanatumika mafichoni laiti kama wanagekuwa wanafanya ngono hapohapo barabarani ingekuwa rahisi kuwadhibiti,jambo linalofanyika chumbani (mafichoni) kulizuia ni mtihani mkubwa sana,achana na nyege mkuu.

Labda tueleze kwa hizo siku tatu ungetumia mbinu gani kuwadhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu madada poa wapo mpaka nchi zilizoendelea na zenye uchumi wa Kati. Nenda Ulaya utawaona nende South East Asia countries mfano Thailand , Indonesia, phillipines, n.k. hii ni miongoni mwa biashara kongwe Dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…