Hao hao wanaotoa maoni hayo ndo hawalipi wao ni kupewa tu. Wangejianzia wao kwanza kuonesha mfano.Watu walipe kodi hii iko sawa kabisa, hii nchi kuna wahuni wanaishi kwa raha hawalipi kodi wala chochote wao wapo tena wengine ni watu wazito mishahara mikubwa
Safi tuu hii,itawafanya watu wachacharike sana kupiga kazi.Kila mtu alipe kodi sio kundi dogo libebe mzigo wa wengineView attachment 2260876
Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.
Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.
Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.
Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Kama vipi punguzeni mishahara ya wabunge.
Mwigulu atakuambia hamia BurundiKwenye tozo hawajatosha?
Kabisaa"Kuongoza kenya nisawa na kuongoza wagonjwa mahututi ila kuongoza Tanzania nisawa na kuongoza maiti" Jomo kinyatta.
Kipato chake ni kufikisha miaka 18.Kwa hivyo mtu asiye na kipato anadaiawaje Kodi?. Kodi inamfaa mtu mwenye kipato.
Watu wanataka barabara za bure makwao, dawa za bure, kulindwa na JWTZ na zpolisi bure.Safi tuu hii,itawafanya watu wachacharike sana kupiga kazi.Kila mtu alipe kodi sio kundi dogo libebe mzigo wa wengine
View attachment 2260876
Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.
Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.
Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.
Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Watu wanataka barabara za bure makwao, dawa za bure, kulindwa na JWTZ na zpolisi bure.
Wao ni kuzaliwa bure na kula bure.
Sasa hata watu wakizaa, wajue kuwa wazaa mlipa kodi.
Utakuwa konda kwenye mabasi yake ya Ester coachKazi kanitafutia yeye?
Kodi ya kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2260876
Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.
Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.
Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.
Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Hii ni sawa!"Kuongoza kenya nisawa na kuongoza wagonjwa mahututi ila kuongoza Tanzania nisawa na kuongoza maiti" Jomo kinyatta.
Baada ya hii ya kichwa itafuata ya mikono hatimaye ya miguu,hawana vyanzo vya mapato wanawaza namna ya kutukamua sisi tu,hapo ndipo naanza kumkumbuka Kikwete ,hawa watu bila kuwepo serikalini maisha yao ya mitaani yangekuwa magumu sana.Kwenye tozo hawajatosha?