Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

Watu walipe kodi hii iko sawa kabisa, hii nchi kuna wahuni wanaishi kwa raha hawalipi kodi wala chochote wao wapo tena wengine ni watu wazito mishahara mikubwa
Hao hao wanaotoa maoni hayo ndo hawalipi wao ni kupewa tu. Wangejianzia wao kwanza kuonesha mfano.
 
View attachment 2260876

Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.

Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.

Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.

Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Safi tuu hii,itawafanya watu wachacharike sana kupiga kazi.Kila mtu alipe kodi sio kundi dogo libebe mzigo wa wengine
 
Kama vipi punguzeni mishahara ya wabunge.

Kabisa sambamba na kodi ya kichwa kuanzishwa, serikali iache kununua magari ya kifahari vigogo wapewe toyota vitz na pikipiki, samani za kifahari kama meza na viti vya bei mbaya ofisi za umma iwe marufuku.

Haya yakufanyika ya kodi ya kichwa kwa wote, matumizi ya risiti za mashine za EFD na kupunguza matumizi ya kifahari kwa viongozi, wakurugenzi na maafisa wa juu wa serikali kuu, mikoa, serikali za mikoa / mitaa, na yale majoho ya madiwani tutapata fedha nyingi za kuhudumia shule, hospitali, ujenzi wa miundo mbinu na nchi kuacha kukopa kupita kiasi.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kwenye capitalism, Kodi inalipwa kutokana na mtaji. Yeye anataka kodi ya kichwa, kichwa ni mtaji? Kama ndiyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
We jamaa haupo serious unataka kuambia watanzani hatulipi kodi, watu wote wanalipa kodi kupitia vitu vyote tunavyonunua kwenye maisha yetu ya Kila siku maana serikali tayari inakuwa ishakata kodi yake ndo maana kunakuwa na ongezeko la bei la bidhaa, vivyo hivyo kwenye vocha kama huamini nunua kifurushi halafu angalia mchanganuo ndo utajua kama Kila mtanzania analipa kodi au laa!
 
Safi tuu hii,itawafanya watu wachacharike sana kupiga kazi.Kila mtu alipe kodi sio kundi dogo libebe mzigo wa wengine
Watu wanataka barabara za bure makwao, dawa za bure, kulindwa na JWTZ na zpolisi bure.
Wao ni kuzaliwa bure na kula bure.

Sasa hata watu wakizaa, wajue kuwa wazaa mlipa kodi.
 
Hivi hii kodi mnayopigia chapuo leo, si ilifutwa miaka fulani, kwa Nini ilifutwa changamoto zilizo sababisha ikafutwa leo hazipo?
 
View attachment 2260876

Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.

Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.

Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.

Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.

Ujamaa unaingia vipi hapo?
Wakati wa Ujamaa kulikuwa na T.I.N ?
 
Unalipa Kodi unaingiza Nini?
umewapa kazi?au mitaji ya biashara?
Hauwezi kuvuna kitu ambacho haujapanda.
Nchemba ni mzigo.
Sasa hivi hakunaa wa kututetea watu wanakaribishwa kuramba assaal
Watu wanataka barabara za bure makwao, dawa za bure, kulindwa na JWTZ na zpolisi bure.
Wao ni kuzaliwa bure na kula bure.

Sasa hata watu wakizaa, wajue kuwa wazaa mlipa kodi.
 
View attachment 2260876

Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.

Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.

Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.

Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Kodi ya kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye tozo hawajatosha?
Baada ya hii ya kichwa itafuata ya mikono hatimaye ya miguu,hawana vyanzo vya mapato wanawaza namna ya kutukamua sisi tu,hapo ndipo naanza kumkumbuka Kikwete ,hawa watu bila kuwepo serikalini maisha yao ya mitaani yangekuwa magumu sana.
 
Back
Top Bottom