Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwamba TFF hawajui kanuni na sheria za haya mambo? Kwamba wanaisingizia wizara bwashee?TFF inajipendekeza tu bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba TFF hawajui kanuni na sheria za haya mambo? Kwamba wanaisingizia wizara bwashee?TFF inajipendekeza tu bwashee!
Kwani na wewe ni MATAGA??Kama unataka kutekenywa njooona mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
Acha mambo yako tuendelee kuisupport serikali kama enzi za JPM ndugu yangu.Wanzanzibari watu wa hovyo sana
Rais wa TFF ni Simba damu.Kwamba TFF hawajui kanuni na sheria za haya mambo? Kwamba wanaisingizia wizara bwashee?
Wa MazezetaMuasisi wa haya yote ni yule Shujaa.
Huhuhu ndugu umefika mbali aseeMaku nasa waha
Bavicha acheni nongwa!
Wanzanzibari watu wa hovyo sana
Ya clatos chama hapo sawaMechi inavurugwa kunusuru Team ya Chama dhidi ya kipigo
Kwani na wewe ni MATAGA??Kama unataka kutekenywa njoo
Bwashee mbona nasikia wataalamu wanasema eti wanaolaumu ni utopolo kwakuwa eti walishalogea mda wa saa 11. Sasa waasema kwa kiarabu saa 11 na saa 1 ni siku mbili tofauti hivyo uchawi utakuwa ume expire. 😂😂Rais wa TFF ni Simba damu.
Ametumia hiyo fursa kumnusuru mnyama aliyekuwa apigwe bao la ushindi saa 11:57 jioni!
Mama awe anatumia na Chopa kama Lissu mbona Mwendazake alikuwa anazitumiamnaweza kusema mengi lakini kiusalama haiko sawa lile nyomi la taifa litoke na msafara wa rais uwe barabaran