Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

Nini kuahirisha mechi mkuu, kwa maandalizi yaliopo hata ingechezwa asubuhi, kipigo ni kile kile 3 kwa 1. Yanga daima mbele, kumsujudia mnyama mwiko.
 
Bavicha acheni nongwa!

Yanga wapinga agizo hilo la TFF/Serikali

Hii ni tweet ya Maulid Kitenge:

Taarifa fupi ya Yanga kwa Vyombo vya habari imesema wao watapeleka timu kama ratiba inavyosema saa kumi na moja na kulitaka Shirikisho la soka la TFF, liheshimu kanuni ya 15 inayohusu taratibu za mchezo ambayo inasema mabadiliko yoyote ya muda wa mchezo yatajulishwa saa 24 kabla.
 
Rais wa TFF ni Simba damu.

Ametumia hiyo fursa kumnusuru mnyama aliyekuwa apigwe bao la ushindi saa 11:57 jioni!
Bwashee mbona nasikia wataalamu wanasema eti wanaolaumu ni utopolo kwakuwa eti walishalogea mda wa saa 11. Sasa waasema kwa kiarabu saa 11 na saa 1 ni siku mbili tofauti hivyo uchawi utakuwa ume expire. 😂😂
 
Kumbe kipigo cha Yanga kimesogezwa baada ya Futari
 
mnaweza kusema mengi lakini kiusalama haiko sawa lile nyomi la taifa litoke na msafara wa rais uwe barabaran
Mama awe anatumia na Chopa kama Lissu mbona Mwendazake alikuwa anazitumia

Au anaogopa Ushungi utapeperuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…