Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

Dume zima unaweka AVATAR ya mwanamke!
Haujishangai wewe ulizaliwa na mwanamke na ni dume zima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Bavicha hebu ondoeni hawa akina wendee
 
Wanzanzibari watu wa hovyo sana
Kweli kabisa maana njaa zenu Tanganyika ndizo zilizowalazimisha Wazanzibar kukusanya makodi kupitia TRA ili muweze kulipana mishahara yenu na maposho mbali mbali huko Tanganyika, pamoja na maendeleo yenu barabara na madaraja.

Hakuna mzanzibar anayenufaika ata shilingi 1 pesa inayokusanywa ni TRA Zanzibar. Ndio mana sasa mnaleta dharau, kiburi na matusi na ndio mana mnakazia muungano udumu muzidi kuvinyonya vile visiwa. piriad
 
Usituletee habari za simba na yanga hapa, nyinyi watanganyika washamba sana mnajidai uzalendo lakini hizo team zote zinacheza mpira wa kizamani na wa kishamba kabisa ni kwa vile hujawai ata mara moja kuangalia mpira wa ulaya kwenye Television zilizotapakaa kote.,

Sio lazima kushabikia mpira wa nyumbani kwenu kama hawajui kucheza mpira ni mguu supu tu muda wote. Siku moja nilishangaa sana wabongo wamezongea uwanja kufika nachungulia kunachezwa mpira wa machakacha.,
 
Haujishangai wewe unalizaliwa na mwanamke na ni dume zima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Bavicha hebu ondoeni hawa akina wendee
Umewaaibisha uvccm wenzako na sukuma gang wenzako
 
The letter is so long which shows they are not telling the truth. The whole letter can be summarised in one simple paragraph
 
Huu ndio umbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…