Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Shujaa wa nini tena jamani?Muasisi wa haya yote ni yule Shujaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shujaa wa nini tena jamani?Muasisi wa haya yote ni yule Shujaa.
Shujaa muuajiMuasisi wa haya yote ni yule Shujaa.
Hii ni nchi ya hovyo snHiyo nia njema ya kusogeza mbele huo mchezo ilikuwa ni ipi? Binafsi nilitegemea waeleze pia kwa nini waliahirisha lakini pia watoe "commintment" kuwa siku nyingine na wao wataheshimu sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia na kuendesha shughuli nyingine na sio mtu tu kukurupuka na kuwaingiza watu hasara za kipuuzi.
Hivi hiyo timu ya chama ni ipi?Mechi inavurugwa kunusuru Team ya Chama dhidi ya kipigo
Hana njia zaidi ya kukubali na mbali na hapo ahamie kwao Rwanda.MATAGA katika ubora wako lazima ukubali SSH ndiyo raisi
Majaaliwa ndiyo anastahili lawama zoote hizoNi kituko haswa, dunia inatucheka nchi ya watu milioni 60 kuendeshwa kama familia ya mtu mmoja
Hivi bila kutukana comment yako haiwezi kusomeka?Maku nasa waha
Bila kumuondoa yule pm hatutakuwa na mabadilikoAthari na chembechembe zingine zilizobaki za utawala wa awamu ya tano kujitolea matamko.
Michezo ina mfumo wake maalum ambayo hupangwa kwa muda mrefu lakini mazoea ya awamu ya 5 yameharibu kabisa utawala wa sheria, mifumo, taratibu na kanuni.
Nchi inategemea zaidi tamko la waziri, wizara, mkuu serikali za mkoa au rais au rais wa TFF bila kuzingatia mambo mtambuka kisheria, kimichezo n.k
Utasikia hata humu JF mtu anaweka " Rais wa Kenya aruhusu waTanzania ..." huku ni kuonesha jinsi jamii ya Tanzania ilivyoathirika na kutegemea zaidi matamko, hisani za mtu / watu wenye mamlaka badala ya kufuata sheria, katiba, kanuni , taratibu labda tu pale panapotokea hali ya hatari kwa wananchi na hizo pia zimeainishwa katika sheria na katiba kwa wingi kabisa nini kifanyike.
WAJANE wa JIWE naona mnalazimisha kuonekanaona mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
Na Lugola na Jah people hao wanaamini kuwa jiwe alikuwa ni yesuAlly kessy muulize kuhusu mwendazake uone jibu atakalokupa
Imeandikwa haraka haraka maana wanajua watanzania ni wapimbafu hawataisoma. Umesema ukweli.Aisee...! Hilo elekezo la kwanza kuhusu" mechi ya Simba na Yanga iliyohairishwa "mbona linanichanganya. Linasema, mechi irudiwe!! mechi itarudiwaje wakati haijachezwa? Unarudia kitu ambacho hujakifanya!? Au ni mbinu ya kuhalalisha madai ya Simba ya kutaka wapewe ushindi wa mezani wa 3 points na 2 goals?
===
Nisaidieni, yawezekana kiswahili ndicho kinanipiga chenga.
Mpira ni saa 1 usiku!!!!!Ndo SHIDA ya kutegemea waganga.
Mpira NI saa 1 USIKU.
Hilo ni MATAGA linaishi Usagara Mwanza ndiyo kwao lazima liwe MATAGA.Kwani na wewe ni MATAGA??Kama unataka kutekenywa njoo
Dume zima unaweka AVATAR ya mwanamke!Acha mambo yako tuendelee kuisupport serikali kama enzi za JPM ndugu yangu.
Mpira ni saa 1 usiku!!!!!
Hiyo ndiyo sheria ya FIFA kuwa mpira lazima uchezwe saa 1 usiku?
Unaifuatilia ligi ya kwenu RwandaNdio maana niliacha kufuatilia this foolish league ya Tanzania miaka mingi.
Mjane pole sanaBwana ako akikutekenya inakutosha shosti
Juhudi za kujipendekeza zilizaa matunda kwani kijana wake sasa hivi ni prezidaaaWanadhani kila mtu anahitaji sana kusikiliza hizo hekaya za huyo mzee aliyekuwa anataka Magufuli aongezewe muda wa kukaa madarakani.
Mjane pole sana