Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
....kwani maslahi yote makubwa ya "integrity" ya nchi wananchi wanaambiwa ?!!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Yaonekana ni makubwa
Ndiyo maana imeyamewawia vigumu mno kwao kuwaelimisha watanzania.
Alaaaaa kumbeee....Kamwe usijipe uhakika na utulivu chini ya jua, tatizo mmejiamin to the fullest lkn wakati utafika tu!!
[emoji2956]Kwahiyo wewe uelewa wako siyo mkataba una kasoro bali hutaki DP-WORLD waendeshe bandari. Basi endelea na hup uelewa wako serikali inachanja mbuga.
[emoji2956][emoji2956]Watanzania wameelezwa na wanaendelea kuelezwa,wengi wao wameanza kuelewa ndio maana msemaji kaja kutoa statement official.
Tunalipia upumbavu uliosainiwa na marais wajinga waliotangulia,Hawezi kuja kutokea rais kichaa kama yule marehemu ambaye amesababisha hivi sasa serikali inalipishwa mabilioni ya hela kwa ujinga wake.
Kuna watu hapa jukwaani walisema hawatakubari sasa ngoja tuone hii movie mwisho wakeUnataka waje na move ipi? Ukisema mawazo yako inatosha.
Kwani wewe utakuja na move ipi labda nikuulize?
Tutoke kwanini ?!!!Ni wakati sasa ccm/tanu itoke na kuiachia nchi. Nadhani Tz ndio nchi pekee iliyobakia na chama kiasisi kuwepo madarakani.
Hivi vyama ni vya hovyo tu havina lolote.
Sasa kama meli ya samaki ilyokamatwa na magufuli bahari kuu akiwa waziri wa mifugo na uvuvi na ile kesi tukaja kulipishwa mabilioni akiwa magufuli ndio rais utasema tuna mtu hapo au kichaa?Tunalipia upumbavu uliosainiwa na marais wajinga waliotangulia,
Ndio maana nikasema akija Rais mwingine mwenye akili atakuwa tayari kulipa mabilioni ili kuondokana na upumbavu wa namna hii!
Subiri tupate rais mwingine mwenye akili atutoe kwenye huu utaahira wa kimangungoSasa kama meli ya samaki ilyokamatwa na magufuli bahari kuu akiwa waziri wa mifugo na uvuvi na ile kesi tukaja kulipishwa mabilioni akiwa magufuli ndio rais utasema tuna mtu hapo au kichaa?
Kwani Serikali ni Msigwa au Rais? Serikali inawekwa na wananchi. Msigwa anasema haya ni "Makubaliano" Mahakama inasema ni "Mkataba". Huu ni mkataba wa kibiashara. Wananchi kuelezwa kila hatua itakayofuata siyo suluhu; la muhimu ni kama uhuru wa wananchi na faida kwa Tanzania ni kubwa kuliko ambavyo ingepatikana vinginevyo. Hiyo ndiyo kamali au bet iliyopo mezani. Mwishoni wananchi ndiyo wanaosema, siyo msemaji wa Serikali wala serikali; mradi kura kwenye chaguzi zijazo zisiibiwe.
🥺🥺🥺🥺🥺Ulitaka wafanyaje? ujumbe umefika na mwisho wa siku katiba itabadilika kila mtu atashitakiwa
Ni jambo jema iwapo serikali imeona kuna tija na faida nalo ijapokuwa kuna vipengele vya mkataba vina utata.
Ila ni vema zikaondolewa kinga za viongozi kushtakiwa ili wawe na uhakika na mikataba wanayoingia.
Ikibainika kuna magumashi basi viongozi husika wapelekwe mahakamani kusomewa mashtaka na ikibainika walitupiga changa la macho wafilisiwe na watumikie adhabu kali.
Katiba mpya ianze na hilo jambo. Pia mahakama na bunge viwe vyombo huru na vyenye nguvu sio kuwa puppet (chawa) wa serikali.
Sasa akichukiwa si ndio itakuwa furaha yenuuuu??? Yanii raisi na serikali waache kutekeleza mambo ya kuinua uchumi wa taifa eti kisa kuna kakikundi hakatakiii?? Ulisikia wapiii??Mama anajipa wakati magumu sana hasa kama ataendelea mpaka 2030. Inawezekana akachukiwa sana na wananchi. Hasira za wananchi soon wataanza kujionyesha.
Huyu mtu ni very stupid. Mikataba hiyo inakuwa governed na IGA, haiwezi kukiuka kipengele cha " mpaka shughuli zitakapoisha". Shughuli za bandari znaisha line? Nawashauri Dubai wasije maana hata jeshi litawageuka. hakuna atakayekubali kuuza bandari zetu...
Haya majitu kama mkataba utakuwa na matatizo huko mbele I kama ilivyo kwenye madini na gas itabidi washtakiwe na wapewe adhabu kali.
People wapi hao?Whether upotoshaji au ukweli... People don't want it.