Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

TICTS wametula "viboga" na kutufikishia trilioni 7 nao ni ubia wa akina Karamagi na waHongKong... mwarabu anakuja kula "viboga vyetu" na kutupa trilioni 26....huoni ni faida hiyo ya kutoa "viboga vyetu"....

Kalia utajiri tu....wenzako tunautumia kmmmmyeeeeekkkkkoooo!!!
Mpaka wakutoe utumbo ndiyo utashika adabu!
 
kamuulize bi spika yaliyomkuta pale kanisani kwake - hakuamini nini afanye je akusanye vitabu vyake asepe ama aagize maaskari wa Bunge wawarukie wale makatekista wanausoma huo waraka na kuusambaza kwa kila mwana jumuia.
Kwani Spika ni RC?
 
Serikali ya mama Samia imeapa kuwa katu haitarudi nyuma kuhusiana na mradi huu.



Ama kwa hakika yawezekanq kuna maslahi makubwa mno kuuhusu, ambayo wananchi hatuyajui.

Kulikoni ukomavu huu?
 
Kwahiyo kumbe shida yenu haikuwa mkataba urekebishwe bali ni hamtaki kabisa DP WORLD iwekeze bandarini? Watanzania mna tatizo la akili kichwani.
Shida yetu na nani. Mimi nazungumzia kwa uelewa wangu. Sasa kama wewe kuna watu wanafikiri kwa niaba yako then hatuwezi kuelewana.
 
Shida yetu na nani. Mimi nazungumzia kwa uelewa wangu. Sasa kama wewe kuna watu wanafikiri kwa niaba yako then hatuwezi kuelewana.
Kwahiyo wewe uelewa wako siyo mkataba una kasoro bali hutaki DP-WORLD waendeshe bandari. Basi endelea na hup uelewa wako serikali inachanja mbuga.
 
Yaonekana ni makubwa
Ndiyo maana imeyamewawia vigumu mno kwao kuwaelimisha watanzania.
Watanzania wameelezwa na wanaendelea kuelezwa,wengi wao wameanza kuelewa ndio maana msemaji kaja kutoa statement official.
 
Back
Top Bottom