Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa hiyo mnapiga makelele ili mradi ukwame? Sasa wanakuja kuwekeza na kwa kuwa faida ni kwa nchi nzima, endeleeni tu kupiga keleleHawa waarabu nao ni matapeli, yaani unaendeleaje kuwekeza sehemu ambayo ina makele kibao kuhusu mradi wako bila woga wowote?
Yaani ni sawa na wewe kuendelea na mchakato kununua nyumba ya urithi ambayo tayari wanafamilia hawaelewani - itakuwa ni ujinga wa mwaka.