Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kubwa [emoji1666]Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Yanga bingwa.Kwa hiyo tukusaidieje labda
Wahl klabuniii .....faster usicheleweeWamepatikaje hao mashabiki kwanza?
Maana hyo n pesa ya umma lazma tujue mchakato wake
Hivi timu km Namungo ina uwezo wa kuujaza Benjamin mkapa kiingilio kikiwa ni Bure?55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!
Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.
Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!
Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.
Makolo lazima yanune.Mbona thithi tulivyoenda kufa kiume kule kwa Mwarabu Serikali haikugharamia mashabiki wa kubeba jeneza.Asante Sana mama Samia Kwa juhudi hizi zakusupport michezo.hongera pia Kwa wizara
Yote yatafanyikaHuu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Nuksi ingeingia kipindi kile cha milioni tano kwa goliCCM!! ngoja muitie nuksi timu yenu!! kitakachowakuta huko tutakuja simuliana mtakaporejea...
Hujajibu hoja badala yake umehamisha hoja. Lakini ngoja nikujibu hapa hapa.Wakati mnapokea hizo hela za magoli ya mama mbona kusema hela za umma zaenda kuchezewa?
Au zile za magoli ni tofauti na hizi zilitolewa kwa ajili ya mashabiki kwenda kushangilia?
Vyo vyote vile itavyowezekana mpira wa Tanzania utangazwe na faida itaja onekana mbeleni huko
Kuyatafuta mafanikio hakuna njia maalum
Yote yatafanyika wapi na lini wakati wizara iko busy sasa kuwakatia tiketi za ndege na kufanya booking ya hoteli kali huko South Africa maafisa wa wizara kwenda kutalii kwa kivuli cha 'mashabiki' 55 wa Yanga.Yote yatafanyika
dole la kwenye avatar yangu umeliona linakuhusuYanga bingwa.
Wivu tu....haya tutakuchagua wewe uwe sehemu ya 50 🤣👈Ndio tatizo la kuwa na viongozi washabiki
Mimi ni mwana yanga ila huu mpira wa simba na yanga ni hatari kwa maendeleo ya taifaNi jambo jema