Headcorner
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 205
- 292
Hawaondoki na ndege wanaondoka na bus,mchakato huu uliendeshwa na serikali kwa kushirikiana na Yanga,Yanga wao walichofanya ni kuwatafuta wale mashabiki ambao walienda Congo kimyakimya ndo hao asilimia kubwa wamesafiri leo