makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sawa mzee mwenzangu, nitakuzawadia kazawadi.Mzee mwenzangu Yanga bingwa.
Hongereni watani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzee mwenzangu, nitakuzawadia kazawadi.Mzee mwenzangu Yanga bingwa.
BFF nakusabahi!Timu ya Wananchi
Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Lakini viwanja vya serikali (Ben Mkapa na Uhuru) angalau vipo vizuri.Ni jambo zuri na ni aina fulani ya kutangaza ligi yetu lkn kubwa zaidi nafikiri Serikali inge ongeza juhudi ya kuimarisha miundo mbinu ya mpira kwa ujumla na hasa kwa yale ya upande wao serikalini
Viwanja viboreshwe kuanzia kwenye ‘pitch’ majengo yake, vyoo , usalama
Utachezaje kwa utulivu li kiwanja lina ma bonde bonde na usalama hafifu wa kila aina
Kama kuna vitu vinatoka nje ya nchi na vinavyohusiana na kuboresha viwanja na miundo mbinu yetu wanaweza hata kuvifanyia ‘exemption’ ya mambo ya kodi na tozo mbalimbali
Tunajitahidi ukilinganisha na majirani zetu lkn tunatakiwa kuboresha zaidi na yanayohusu serikali iyafanyie kazi ili hapa Tanzania iwe ndo ‘Hub’ yetu ya soka kwa ukanda huu wa Afrika ya kati,mashariki na kusini
Mkuu hoja yake ni Msingi wewe unaleta upumbavu wako!Hoja wamepatikanaje/ watapatikanaje?wasiende 10 tukaambiwa 55 au wakapitisha ela ya kwenda watu 300,au wakapelekana hapo Wizarani na familia zao huku wengine ni mashabiki wa Makolo wakatumia hiyo fursa kwenda kwenye mishe zao. Wakati mwingine kama una stress zako acha kucoment thread za watu ni vema kupita kimya na sio Kila mtu mpenzi wa hizi timu zinazotumika kufunika mambo muhimu ya Taifa kama walivyozitumia kuzima report ya CAG.kabla Simba hawajatupwa nje ya mashindano wakati wanapewa mil 5 ulikuwa hujui kama ya umma?
Ni kama ile walivyopatikana game na Mazembe kule Lubumbashi, yaani Mashabiki walichangana wakakodi Basi liwapeleke mpaka South Afrika kwenda na kurudiKigezo Gani kimetumika kuwapata mashabiki????????????
Kwahiyo wewe ndo unataka uwathibitishe Kama hao kweli Ni mashabiki wa yangaMkuu hoja yake ni Msingi wewe unaleta upumbavu wako!Hoja wamepatikanaje/ watapatikanaje?wasiende 10 tukaambiwa 55 au wakapitisha ela ya kwenda watu 300,au wakapelekana hapo Wizarani na familia zao huku wengine ni mashabiki wa Makolo wakatumia hiyo fursa kwenda kwenye mishe zao. Wakati mwingine kama una stress zako acha kucoment thread za watu ni vema kupita kimya na sio Kila mtu mpenzi wa hizi timu zinazotumika kufunika mambo muhimu ya Taifa kama walivyozitumia kuzima report ya CAG.
Natumaini yu mzima BFFBFF nakusabahi!
Uko zanzibar mwenye akili ni Mudathir Yahya tuHuu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Nafikiri wewe Hauna Mama umejizaa mwenyewe!Ila kama Kuna mtu alikuzaa basi amevuka kiwango Cha huyo uliyemtaja wakati hausiki hapa.Stress Vijana zinawapeleka pabaya Sana. Kikubwa hata wakipewa mil 80 haiondoi Mantinki ya wewe kuwa mpumbavu.Mpumbavu ni mama yako mpuuzi wewe.
Kipindi simba na yanga wanapewa mil 5 mpaka mil 10 na mama samia suluhu mlikuwa hamjui kama kuna report ya CAG?
Leo timu yenu imetoka mnaanza kuhoji kuhusu matumizi pesa
Sidhani Kama umeielewa comment yangu.Kwahiyo wewe ndo unataka uwathibitishe Kama hao kweli Ni mashabiki wa yanga
Pesa Ni ya umma yanga timu ya umma
Mashabiki ndo walipa Kodi
Au umeambiwa wale wanaoenda Ni Wakenya
Usiniletee stress zako,potelea mbaliNafikiri wewe Hauna Mama umejizaa mwenyewe!Ila kama Kuna mtu alikuzaa basi amevuka kiwango Cha huyo uliyemtaja wakati hausiki hapa.Stress Vijana zinawapeleka pabaya Sana. Kikubwa hata wakipewa mil 80 haiondoi Mantinki ya wewe kuwa mpumbavu.
Mimi Sina stress nakula pediem pesa ya walipa kodi Niko Lorge nimelala na mchepuko wangu Niko hapa Dom. Kesho STL Inanirudisha DSM Sasa wewe mwenzangu mapovu haya yanayokutoka upo Wapi?Usiniletee stress zako,potelea mbali
Dah..kweli lakini.Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Katika kila budget kuna contigency. Kwa hiyo usiseme kwamba wizara haikutenga hiyo fedha.Huu ni upumbavu wa 100%.

Upigaji huwa una mchakato boss?Wamepatikaje hao mashabiki kwanza?
Maana hyo n pesa ya umma lazma tujue mchakato wake
Watoto yatima mnao siku zote lakini nusu fainali hii hamnayo siku zote. Acha unafiki na wivu kwa Yanga55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!
Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.