Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata CHADEMA wamo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga bingwa.dole la kwenye avatar yangu umeliona linakuhusu
Nafikiri lazima uwe na kigezo cha kuweza kulipia hotel.Hao mashabiki wanapatikana kwa mchakato upi? Sio mtu anabiashara zake nyingine tu, anaenda huko kufanya mambo yake na hata uwanjani haendi, akinaliza kufunga biashara zake anarudishwa tena nchini bure, na hoteli kalipiwa
Mzee mwenzangu Yanga bingwa.Fedha ya umma, viongozi wanazitumbua tu, usikute mashabiki hao 55 ikaonekana wametuma bilioni 3 [emoji1787]
Siendi, naogopa kutapika hahaaahWivu tu....haya tutakuchagua wewe uwe sehemu ya 50 🤣👈
Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
South Kuna mateja kibao wanauza ngada, na vibaka uchwara kutoka bongo, Congo ,Rwanda na Burundi hivyo usije kumshangaa uwanja umegaesnyika nusu kwa nusu mashabiki55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!
Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.
Umeandika chuki kibao.Huu ni upumbavu wa 100%.
Mantiki ya hiyo safari haipo kabisa na hizo ni pesa za Umma zinakwenda kuchezewa.
Kama watu hamjui tu, nyinyi fahamuni haya.
-Hao 'mashabiki' 55 wa Yanga ni maafisa waandamizi wa serikali, safari hiyo watagharamiwa Usafiri wa kwenda na kurudi (nadhani watakwea pipa) , Posho ya chakula na malazi nk. Wastani wa kumgharamia 'mshabiki' mmoja huenda hautapungua milioni 3, na kwa mashabiki 55 hapo ni zaidi ya milioni 165.
-Wizara haikuwahi kuwa na bajeti ya pesa iliyotengwa kwa hiyo safari, hivyo hiyo ni pesa inachotwa kutoka eneo lingine lililotengewa bajeti, mwisho wa siku malengo ya kibajeti hayatafikiwa.
-Mashabiki 55 wa Yanga hawawezi kuwa ya impact yoyote ya kishabiki katika uwanja wa Marumo unaotegemewa kuingiza zaidi ya mashabiki elfu 40.
NINI KINGEPASWA KUFANYIKA.
1. Wizara ingemobilize watanzania waliopo South Africa kuhakikisha walau wanafikia elfu Tano kuwepo uwanjani. (Hao wapewe nauli/usafiri wa kuja na kuondoka uwanjano, Jezi za Yanga/Taifa, Bendera za Yanga/Taifa)
2. Kwa kuwa mechi hii ni bure, hivyo uwanja utafurika wasouth Afrika watupu, basi wizara ingepambana walau jukwaa moja lenye kukidhi mashabiki 5000 liwe reserve kwa ajili ya watanzania tu.
Hujajibu hoja badala yake umehamisha hoja. Lakini ngoja nikujibu hapa hapa.
Pesa za magoli (za mama Samia) japokuwa zina utata (tukizichambua kiundani sana) lakini at least ziko justifiable&reasonable. Ni pesa kutoka Ikulu (kila mwaka Ikulu inatengewa pesa zake kibajeti kwa matumizi mbali mbali ya kukirimu), ambapo mwenye maamuzi nazo ni rais mwenyewe. Sasa kuliko kuwaleta Ikulu wafungaji na kupiga sherehe, mama anazitoa kwa timu na wachezaji watakwenda kunywa soda!. Kwa kifupi sana zile ni pesa kidogo (tips), ziko wazi, zimenyooka, zinawafikia walengwa kikamilifu na zinaongeza hamasa.
Sasa hizi pesa za kupeleka maafisa 55 wa serikali huko South Afrika kwa kivuli cha mashabiki wa Yanga, zina maslahi gani kwa Yanga?
Bajeti yake inatokea wapi?
Umeandika chuki kibao.
WIZARA YA MICHEZO so unataka wanaunue MADAWATI?
Umembwa mashabiki walikuwa wasafiri kwa basi hadi Afrika Kusini wamechangana pesa wao wenyewe. Kutokana na umbali uliopo ingewachukua siku 3 hadi nne kufika na kuangalia game, then kurudi pia ingewachukua siku 3 so jumla wangetumia hadi siku 7 hivi njiani tu.
Serikali katika kuona juhudi zao hao mashabiki wakaona wawasupport kuwachukuwa kwa Ndege itakayo wabeba YANGA waende pamoja, ikiwaongezea kiasi kidogo cha gharama.
Pia serikali kupitia ubalozi wa TZ Afrika kusini una ratibu upatinaji wa Mashabiki waende uwanjani siku ya J5.
Acha malalamiko ya kipumbavu na kujikuta mjuaji PIMBI wewe.
Ndo itavyokuwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fedha ya umma, viongozi wanazitumbua tu, usikute mashabiki hao 55 ikaonekana wametuma bilioni 3 [emoji1787]
Kwanza na matumizi mabaya ya pesa za umma, labda kama zimetolewa kutoka kwenye account binafsi za viongozi wa wizara.Wamepatikaje hao mashabiki kwanza?
Maana hyo n pesa ya umma lazma tujue mchakato wake