Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini

Hao mashabiki wanapatikana kwa mchakato upi? Sio mtu anabiashara zake nyingine tu, anaenda huko kufanya mambo yake na hata uwanjani haendi, akinaliza kufunga biashara zake anarudishwa tena nchini bure, na hoteli kalipiwa
 
Wacha maneno fanya kazi,achana na hawa wajinga wanaowaza mayele,usiwalipie wajengee mahali pa kukaa kuangalia mipira hiyo,watalipa wao

Unakua Kama amerika anakupa chandarua...
 
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
hapo ndipo watanzania wanapochotwa akili zao fedha za umma zinatumika kuhadaa watu hao mashabiki 55 wakiongozwa na viongozi wa umma wamewapataje
 

[emoji1666]
 
55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!

Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.
South Kuna mateja kibao wanauza ngada, na vibaka uchwara kutoka bongo, Congo ,Rwanda na Burundi hivyo usije kumshangaa uwanja umegaesnyika nusu kwa nusu mashabiki
 
Hili lakufuja pesa ndilo tunaloweza,ila kuweka mipango na mikakati ya maana yakuboresha michezo yetu hakuna kitu.
 
Umeandika chuki kibao.

WIZARA YA MICHEZO so unataka wanunue MADAWATI?

Umembiwa mashabiki walikuwa wasafiri kwa basi hadi Afrika Kusini wamechangana pesa wao wenyewe. Kutokana na umbali uliopo ingewachukua siku 3 hadi nne kufika na kuangalia game, then kurudi pia ingewachukua siku 3 so jumla wangetumia hadi siku 7 hivi njiani tu.

Serikali katika kuona juhudi zao hao mashabiki wakaona wawasupport kuwachukuwa kwa Ndege itakayo wabeba YANGA waende pamoja, ikiwaongezea kiasi kidogo cha gharama.

Pia serikali kupitia ubalozi wa TZ Afrika kusini una ratibu upatinaji wa Mashabiki waende uwanjani siku ya J5.

Acha malalamiko ya kipumbavu na kujikuta mjuaji PIMBI wewe.
 

Zitoke ikulu kwenda kwa simba/yanga ni za Uma tu
Zitoke wizarani kupeleka mashabiki wa yanga ni za Uma bado!
Tija kwa yanga ipo kama uliangalia mechi ya yanga na rivers ya nigeria mashabiki hata 10 hawakufika ila mashabiki wana mchango mkubwa kwa team hasa ile shangilia yao inawafanya wachezaji kuwa mzuka wa kupambana ndo maana unaambiwa shabiki kwenye mpira wa mguu ni mchejazi no. 12

Mambo ya kiasi cha fedha hiki ni kikubwa hiki ni kidogo kilipaswa kulilalamikiwa wakati goli lilipoongezewa dau na mama.
Lakini yote kwa yote hiyo ni hela ya uma!

Naamini kama teams zote mbili bado zingekuwa kwenye nafasi ya kuendelea kama ilivyo kwa yanga na wizara ikaja na huu mkakati wa kupeleka mashabiki sidhani na naamini usingehoji kama ulivyohoji!
 

Bado jamaa sioni anacholalamikia hapo. Mi nahisi jamaa ni simba damu.
Kwa nchi hii bora hizo hela umeambiwa zinaenda wapi na kufanya nini kuliko zilizoainishwa na CAG.

Mfano:
 
Wamepatikaje hao mashabiki kwanza?

Maana hyo n pesa ya umma lazma tujue mchakato wake
Kwanza na matumizi mabaya ya pesa za umma, labda kama zimetolewa kutoka kwenye account binafsi za viongozi wa wizara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…