Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini



AKILI KUBWA MNO.


UMETISHA MZEE BABA
 
Lakini viwanja vya serikali (Ben Mkapa na Uhuru) angalau vipo vizuri.
 
kabla Simba hawajatupwa nje ya mashindano wakati wanapewa mil 5 ulikuwa hujui kama ya umma?
Mkuu hoja yake ni Msingi wewe unaleta upumbavu wako!Hoja wamepatikanaje/ watapatikanaje?wasiende 10 tukaambiwa 55 au wakapitisha ela ya kwenda watu 300,au wakapelekana hapo Wizarani na familia zao huku wengine ni mashabiki wa Makolo wakatumia hiyo fursa kwenda kwenye mishe zao. Wakati mwingine kama una stress zako acha kucoment thread za watu ni vema kupita kimya na sio Kila mtu mpenzi wa hizi timu zinazotumika kufunika mambo muhimu ya Taifa kama walivyozitumia kuzima report ya CAG.
 
Kigezo Gani kimetumika kuwapata mashabiki????????????
Ni kama ile walivyopatikana game na Mazembe kule Lubumbashi, yaani Mashabiki walichangana wakakodi Basi liwapeleke mpaka South Afrika kwenda na kurudi

Walikuwa Mashabiki 55 yaani basi Moja. Kwa juhudi hizi na ghrama zao, Serikali ikaona iwabebe kwa ndege ili kuwapa motisha na kuthamini mchango wao katika michezo.

Shida tunakaza sana ubongo.
 
Kwahiyo wewe ndo unataka uwathibitishe Kama hao kweli Ni mashabiki wa yanga
Pesa Ni ya umma yanga timu ya umma
Mashabiki ndo walipa Kodi
Au umeambiwa wale wanaoenda Ni Wakenya
 
Uko zanzibar mwenye akili ni Mudathir Yahya tu
 

Attachments

  • FvxnU2NXwAIM2el.jpeg
    73.2 KB · Views: 2
Mpumbavu ni mama yako mpuuzi wewe.
Kipindi simba na yanga wanapewa mil 5 mpaka mil 10 na mama samia suluhu mlikuwa hamjui kama kuna report ya CAG?
Leo timu yenu imetoka mnaanza kuhoji kuhusu matumizi pesa
Nafikiri wewe Hauna Mama umejizaa mwenyewe!Ila kama Kuna mtu alikuzaa basi amevuka kiwango Cha huyo uliyemtaja wakati hausiki hapa.Stress Vijana zinawapeleka pabaya Sana. Kikubwa hata wakipewa mil 80 haiondoi Mantinki ya wewe kuwa mpumbavu.
 
Kwahiyo wewe ndo unataka uwathibitishe Kama hao kweli Ni mashabiki wa yanga
Pesa Ni ya umma yanga timu ya umma
Mashabiki ndo walipa Kodi
Au umeambiwa wale wanaoenda Ni Wakenya
Sidhani Kama umeielewa comment yangu.
 
Nafikiri wewe Hauna Mama umejizaa mwenyewe!Ila kama Kuna mtu alikuzaa basi amevuka kiwango Cha huyo uliyemtaja wakati hausiki hapa.Stress Vijana zinawapeleka pabaya Sana. Kikubwa hata wakipewa mil 80 haiondoi Mantinki ya wewe kuwa mpumbavu.
Usiniletee stress zako,potelea mbali
 
Usiniletee stress zako,potelea mbali
Mimi Sina stress nakula pediem pesa ya walipa kodi Niko Lorge nimelala na mchepuko wangu Niko hapa Dom. Kesho STL Inanirudisha DSM Sasa wewe mwenzangu mapovu haya yanayokutoka upo Wapi?
 
Dah..kweli lakini.
 
Katika kila budget kuna contigency. Kwa hiyo usiseme kwamba wizara haikutenga hiyo fedha.
 
55 huku wenzenu wanaujaza uwanja bure?!

Hiyo pesa inayochezewa hapo bora ikatolewe kwenye vituo vya kulelea watoto yatima wapate hata pilau.
Watoto yatima mnao siku zote lakini nusu fainali hii hamnayo siku zote. Acha unafiki na wivu kwa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…