Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

nchii kuna wenye roho mbaya wwngi kuliko wema
 
Kabidhi nchi chadema life lisonge
 
jAMBAZI
 
Waoga wa kutetea Injili ya Yesu Kristo na imani sio waoga wa simba au chui au chochote cha kuogofya
 
Siku ya uchaguzi ikifika mnaamka saa saba mchana na kuwasha TV kuangalia matukio yaliyotokea, leo mnakuja kulalamika jukwaani.
 
Hakika hasara ni kubwa, tulikuwa tunashangilia na kukata mauno wakati JPM akivunja mikataba kibabe bila kufuata taratibu akidhani analikomboa taifa, Sasa walewale masikini na wanyonge, baada ya kufanya sherehe wakati JPM akivunja mikataba hovyo hovyo, kila mmoja ataingiza mkono mfukoni kuilipa bilioni 356.
Hakika, umasikini unyonge Sasa utakolea.

Wale wazalendo wa tumbo wa enzi ya JPM nao watalipa!.

Uzalendo mzuri ni kufuata taratibu na sheria
 
hiyo pesa nadhani itakatwa kwenye hivi vifushi vipya vya mitandao vilivyotangazawa juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…