Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Ndugu zetu chadema wangeruhusu wazo la akina zitto, Kitila &co, la mabadiliko ya uongozi huenda tungekuwa na chama imara kuweza kupambana na ccm, ni bahati mbaya walifukuzwa kabla ya kutekeleza, na kilichofuata ni kuweka katiba ya kisultani
 
Hii kesi ilikuwa mahakamani, haikuwa siri, na awamu ya tano walitegemea ubabe wao ungeikinga nchi, lakini haikuwa hivyo, Jee tumesahau yule mkulima wa South Africa alivyozuia ndege zetu hadi tukamlipa mara zaidi ya tani ya deni lake halisi. Yote hayo ni matokeo ya ubabe wa awamu ya tano, ubabe usiokuwa na mipango wala akili
 
Bombardier ilipokamatwa Canada na Kwenda kulipa kimya kimya umeshasahau ndugu!! Na kuzuia habari isitoke na bunge lisijue!?
Samia ameamua kuwa muwazi na mkweli na inakuwa ni rahisi kuona habari kama hizi awamu yake. JPM hakutaka mabaya yaanikwe kwani hakuwa na nafsi iliyopenda kupingwa.

Kila kitu alikichukulia mpaka moyoni mwake kwa uzito mkubwa wakati akijijua ni mgonjwa wa moyo.
 
Yaan wabongo bana 😂😂😂 mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
hata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitoke
 
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.

Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.

Pia soma



Sent using Jamii Forums mobile app
Wasituleteee madeni ya michongo hapa wajifanye wameshinda kesi kumbe wanachukua pasent zao
 
You don't have to buy my ideology, or anybodies ideology, facts are stubborn things, Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, this is a fact, and better get it in your head!.

Maadam mimi na wewe tunakutania humu, siku wakiamka nistue, meanwhile sisi na CCM yetu, na Mama Samia wetu, acha tuendelee kupiga kazi na kazi iendelee!.
P

The problem with people like you ndumilakuwilis mnajua kuwa "hiko choo ni kibovu na hakirekebishiki ". Cha ajabu badala ya kukitoa mnawaza je mtakachonunua kipya kitakuwa kama chenyewe? Mwisho mnaugua maradhi na kuwaambukiza wengine!

Vyama vikongwe ni kama godoro... baada ya miaka mingi ya matumizi uchakavu unazidi. Badala ya kuleta usingizi wa raha unapata kero tu!
Uzuri unakubali kuwa ccm ishatoka kwenye reli kitambo... Na inaenda kusikojulikana ikiliangamiza taifa.

Nikuhakikishie tu kuwa mbadala wa ccm upo... So your fact is basically factual to you and a few conservatives!
Kinachohitajika ni leveled playing fields huko kwenu na nje huku muone jinsi tutakavoliokoa hili taifa!

Fahamu tu kuwa sote tunapiga kazi... Lakini nyie mnapiga kazi zaidi kuelekea kwenye oligarchy and elite capture!
Na huko wengi mtatolewa makafara...!!
 
Back
Top Bottom