smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
siibi...Nijaribuni muone kama sinta wapa Mibaraka!Utaiba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siibi...Nijaribuni muone kama sinta wapa Mibaraka!Utaiba tu.
Unasema tu.siibi...Nijaribuni muone kama sinta wapa Mibaraka!
Maumivu yatoke wapi tena hao ndo wana roho mbaya kishenzi!! ukipita tu wanakusemaMwananch wa kawaida anaposikia habar kama hii n maumivu kias gani anayapitia
Facilitator.Hapo Makamba anazake kama 10B
JAMANI MBONA NACHOKA MAJI YAPO KWENYE JIKO LA KUNI NA NJAA INAUMA FIGA LATENGUKA NAANZA UPYA INAUMA..
Kwani hamjulikani?Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Samia ameamua kuwa muwazi na mkweli na inakuwa ni rahisi kuona habari kama hizi awamu yake. JPM hakutaka mabaya yaanikwe kwani hakuwa na nafsi iliyopenda kupingwa.Bombardier ilipokamatwa Canada na Kwenda kulipa kimya kimya umeshasahau ndugu!! Na kuzuia habari isitoke na bunge lisijue!?
Daah! Kuna mtu alisema mtashitakiwa MIGA sasa naona miga ndogo zimeshaanza bado kubwakubwaAlafu hii kulipa CAG ameshauri tulipe haraka sana kuepusha riba zaidi [emoji2960]
hata kama tunasaidiwa kingi lakin sio bure ni mikopo lakini basi hata hichi kidogo tunachokusanya wenyewe angalau basi kitufae kutuletea maendeleo japo kiduchu kuliko kulipa hizo kampuni za kitapeli kisha hizo kampuni nazo wanatoa mgao wa 10% kwa hawa walafi wetu usidhani mikataba mibovu kama hiyo wakubwa wamesaini bure tu wana mgao wao wanapata kwenye malipo yoyote yatakayofanywa ndomana hawaoni tabu kuidhinisha pesa zitokeYaan wabongo bana 😂😂😂 mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
Wasituleteee madeni ya michongo hapa wajifanye wameshinda kesi kumbe wanachukua pasent zaoSerikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na Rais wa Marekani wakati huo Mh. Barack Obama pamoja Rais wa awamu ya 4 Mh Jakaya Kikwete.
Pia soma
Mitambo ya Umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada
Mitambo ya Kampuni ya kufua umeme nchini "Symbion" imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara takribani miaka mitatu sasa hivyo kupelekea kampuni hiyo kushtakiwa mahakama ya kazi na hatimae tangazo rasmi limebandikwa la kupigwa minada mitambo yake. Ikumbukwe mitambo hiyo ilizulinduliwa na...www.jamiiforums.com
Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?
𝙷𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! 𝙼𝚒𝚎𝚣𝚒 𝚔𝚊𝚍𝚑𝚊𝚊 𝚒𝚕𝚒𝚢𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚊𝚔𝚒𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚞𝚗𝚒 𝚢𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚝𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚗𝚊 𝙱𝚊𝚕𝚘𝚣𝚒 𝚠𝚊 𝚄𝚂𝙰 𝚗𝚌𝚑𝚒𝚗𝚒 𝚃𝙰𝙽𝚉𝙰𝙽𝙸𝙰 𝚑𝚞𝚔𝚞 𝚒𝚔𝚒𝚍𝚊𝚒𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚂𝙾𝙽𝙶𝙰𝚂 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚔𝚞𝚒𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚖𝚎 𝚃𝚊𝚗𝚎𝚜𝚌𝚘 𝚞𝚝𝚊𝚏𝚒𝚔𝚒𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘 𝚖𝚠𝚊𝚔𝚊 2024, 𝙼𝚍𝚊𝚞 𝚊𝚕𝚒𝚗𝚒𝚙𝚎𝚗𝚢𝚎𝚣𝚎𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚣𝚞𝚗𝚐𝚞𝚖𝚣𝚘 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚘𝚗𝚐𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚔𝚊𝚝𝚊𝚋𝚊 𝚔𝚊𝚝𝚒...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
You don't have to buy my ideology, or anybodies ideology, facts are stubborn things, Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, this is a fact, and better get it in your head!.
Maadam mimi na wewe tunakutania humu, siku wakiamka nistue, meanwhile sisi na CCM yetu, na Mama Samia wetu, acha tuendelee kupiga kazi na kazi iendelee!.
P
SanaaHii nchi itachelewa sana kupata maendeleo ya kweli chini ya utawala wa ccm.