Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Nawewe mbona unakuwa dhaifu ivi kuitwa sukuma gang ndo unaumia hata Mimi hapa nimejiunga na sukuma gang maana inafaa sana kuliko kuwa VIROBOTO gang ambao hawana alama katika nchi hii
 
Mama Maajar ambaye Firm yake ya kisheria ilikuwa ikiitetea Symbion dhidi ya TANESCO alipofanywa kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO nikajiuliza maswali mengimengi!
 
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia kwa mikataba ya kipumbavu na mezani kwa watia sain kumewekwa dollar za rushwa, na sasa tunawalipa tena waizi wetu!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Ujasiri wake umempeleka futi 6 ardhini.
 
Yaan wabongo bana 😂😂😂 mzungu gan ataufyata kwa muafrika? Mzungu ambae unategemea hela za ili ukidhi mahitaj yako kwa zaid ya nusu? Misaada chungu nzima tunawategemea weupe. Udhamini wa kisiasa tunawategemea weupe, kibaya zaid bado tupo under surveillance yao kiutawala!!
Hujui kuwa wakati wa makinikia Prof Sinclair wa Barrick alikuja mwenyewe kwa Magufufuli na akakubali kuivunja Acacia na kuanzishwa Twiga? Umesahau hilo?
 
Mikataba mingi serekalini ni ya ujanjanja tu, wanasheria wengi ni wapigaji tu!!
ukijiuliza Symbion muda wote ilikuwa wapi? Ila kwa kuwa sasahivi wahuni wameshikilia madaraka ndio hio ishu ikafufuliwa na lengo hasa ni huyo mwanaharamu kujitwalia % flani humo kwenye hizo hela za malipo.

Ila Magufuli asingekaa alipe hizo hela na wangepiga kimya sababu kampuni hio iliwekwa kimchongo.
 
Teli zemu, baeleze baelewe!. Ukivunja mkataba unalipa!, dawa ya deni ni kulipa. Serikali ya Samia inazingatia haki na utawala wa sheria.
Madeni yote halali, yamelipwa!.
P
Hio haki na sheria ndio inaruhusu su double taxation? Umchaji mtu Vat kisha umuwekee na Tozo ambayo haina address?

Inaruhusu kuwapiga sound watumishu badala ya kuwaongezea hela kwenye mishahara yao?

Mama yenu ni fatal kabisa!
 
Hio haki na sheria ndio inaruhusu su double taxation? Umchaji mtu Vat kisha umuwekee na Tozo ambayo haina address?.
Kwa vile mimi sii mtaalam wa mambo ya taxation, tozo zote zimepitishwa na Bunge na zinaelezwa ni tozo za nini, hivyo naamini tozo zote, Kisheria ni legit, labda tuje kwenye justification.
Inaruhusu kuwapiga sound watumishu badala ya kuwaongezea hela kwenye mishahara yao?
Kiswahili ni kigumu sana kwa baadhi yetu, Mama Samia amepandisha mishahara na sio amepiga sound only, kiwango ndio bado halijatangazwa, kitatangazwa na Waziri wa fedha, wakati wa kuwasilishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali.
Mama yenu ni fatal kabisa!
She is not!. Mama ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, wengi wenu mmemjua baada ya kifo cha JPM alipotwaa madaraka.

Angalia akina sisi tulimspoti lini?.

Kwa hivyo usifikiri au kudhania kuwa Rais Mama Samia kaibuka tuu na kuukwaa urais kwasababu ya kifo cha JPM, kwa hoja kuwa kama JPM asingekufa, Samia asingekuwa rais;, no way!. Hakuna kitu kipya chini ya mbingu, ile siku mtu unazaliwa siku yako ya kifo imeisha pangwa, hivyo JPM ikikuwa afe alivyokufa na Mama Samia ndiye aliyepangiwa urais Kwa sasa, tena tunamshauri sana Mama, asizungumzie zungumzie sana 2025 kwasababu mpangaji sio yeye, maadam Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tumeisha Iona nia ya dhati ya Rais Mama Samia kwa Tanzania yetu, tumeisha amua 2025, tunakwenda na Mwanamke!.
P
 
ukijiuliza Symbion muda wote ilikuwa wapi? Ila kwa kuwa sasahivi wahuni wameshikilia madaraka ndio hio ishu ikafufuliwa na lengo hasa ni huyo mwanaharamu kujitwalia % flani humo kwenye hizo hela za malipo.

Ila Magufuli asingekaa alipe hizo hela na wangepiga kimya sababu kampuni hio iliwekwa kimchongo.
Wahuni siyo watu wazuri,wamejipanga kweli kuimaliza hii Nchi,ni Mungu tu labda alete heri zake, Wahuni wameikatisha Serekali ya awamu ya 5 kihunihuni ili wafanye yao!!
 
Watanzania ebu tuache ujinga! Tutajiwe kesi na mahakama iliyoamua Symbion walipwe kiasi hicho cha pesa!
Isije ikawa watu wanatengeneza tu mazingira ya kupewa pesa hizo bila kesi yoyote na kumsingizia Hayati Magufuli kwamba alivunja mkataba kinyemela.
Kwanza nyie mnaoshabikia mmejuaje mkataba ulivunjwa kinyemela bila kesi na hukumu ya Mahakama?!
Au ndo mnataka tuunganishe dots kwamba huu ulikuwa ni mkakati uliopangwa ndo maana akina Zitto Kabwe wamemshambulia Marehemu Hayati Magufuli mfululizo?!
 
Hujui kuwa wakati wa makinikia Prof Sinclair wa Barrick alikuja mwenyewe kwa Magufufuli na akakubali kuivunja Acacia na kuanzishwa Twiga? Umesahau hilo?
Anakuja kwaajil ya maslahi tuu, c kwamba eti alikua anamuogopa. Hakuna kiongoz wa Africa mwenye uwezo wa kutunishiana misuli na mabeberu!!
 
Watanzania ebu tuache ujinga! Tutajiwe kesi na mahakama iliyoamua Symbion walipwe kiasi hicho cha pesa!
Isije ikawa watu wanatengeneza tu mazingira ya kupewa pesa hizo bila kesi yoyote na kumsingizia Hayati Magufuli kwamba alivunja mkataba kinyemela.
Kwanza nyie mnaoshabikia mmejuaje mkataba ulivunjwa kinyemela bila kesi na hukumu ya Mahakama?!
Au ndo mnataka tuunganishe dots kwamba huu ulikuwa ni mkakati uliopangwa ndo maana akina Zitto Kabwe wamemshambulia Marehemu Hayati Magufuli mfululizo?!
Wapigaji sasa wala hawatumii tena nguvu nyingi kupiga pesa kisingizio ni magufuli, na nzuri zaidi watanzania wanaamini hivyo visingizio, na atakaepinga ataitwa sukuma gang, Mie naona mama aendelee tu kuupiga mwingi maana hamna kitu tutawafanya hao wapigaji.
 
Na imekuwa kawaida yao kumsema vibaya kwanza JPm ndio waibe! Hivi hawawezi kuiba tuu bila kumwingiza huyu shujaa kwenye kashifa zao hizo!
Kwa kumbukumbu tu...

1651560348321.png

Kwa kweli wajinga ndio waliwao...ndege wafananao huruka pamoja!​
 
Unaiba billion 100 ili uzifanyie nini hizo hela zote? Ufujaji wa mali sio mzuri
Tamaa, Apes nature hata yale Machipanzee huwa yanawazuia wenzao kula matunda pori mti mzima linahodhi limoja na kutoa kibano cha haja kwa yeyote atakae gusa mti.
 
Mwizi ni wwe na Wahuni wenzio,Mimi siyo mwizi hata nikiwa na Mali za vipofu nitawapa haki zao!!
Huyo Mungu wako jiwe unayemwabudu pia alikuwa Mwizi. wewe mwenyewe mtu akikosea mwamala akatuma kwenye simu yako unakimbia haraka kwenda kuutoa na kwenda kwenye mataputapu.
 
Back
Top Bottom