Unafahamu thamani ya miundombinu ya tanesco? Hufahamu kuwa ukarabati ni pamoja na kubadilisha mitambo na njia za umeme na kuweka mipya?Mradi wa kukarabati miundombinu una thamani kubwa kuliko mradi wa kufua umeme? Hii kweli bongo
Bomba la gesi tu toka mtwara hadi dar ilikua trillion 2 tu
Kama Magufuli alivyopigwa laana?Magufuli alitoa sababu,kuwa gesi pamoja na kuwa yetu tunainunua kwa bei kubwa Maana iliisha uzwa zamani, Ndio Maana kaamua kuanzisha mradi mwingine wa kutupatia umeme wa kutosha tena kwa bei nafuu.Sasa hawa majambazi wanaturudisha kule tulikokuwa tuna pakimbia.Mungu atawapiga raana tu acha watuibie tu.
Nani kakwambia kifo ni raana?kuna watu wengi wanateseka hapa duniani wanaomba kifo hata akiji.Magufuri kafa kishujaa atakumbukwa na vizazi vingi kuwa alikuwa rais wa Nchi asiyewai kupigia magoti wazungu,aliye jiamini kuwa nasisi tunaweza pasipo wao.Kama Magufuli alivyopigwa laana?
Haujasema huu mradi unahusu niniWaziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Mkipelekwa mahakamani kujibu hizi shutuma mna wasumbua wazazi wenu kuchangisha. Tusiongee tu vitu hatuna ushahidi navyoHuyu mtu amekuja hapo kukamilisha ujambazi wa ile Gas tu basi! hata huu mradi anaosemea lazima utakuwa unahusu gas full stop
Upo humu kwa ajili ya kutishia watu?Mkipelekwa mahakamani kujibu hizi shutuma mna wasumbua wazazi wenu kuchangisha. Tusiongee tu vitu hatuna ushahidi navyo
Pole kwa kuondokewa na mumeoTunakusubiri
Kwahiyo upo humu kwa ajili vitisho au ?Mkipelekwa mahakamani kujibu hizi shutuma mna wasumbua wazazi wenu kuchangisha. Tusiongee tu vitu hatuna ushahidi navyo
Alipoagiza hakujua haya? Ni kama kununua gari halafu unapoishi hata pikipiki haifikiCrane imeshakuja, Ila pale pa kutumia anasema pamejengwa chini ya kiwango
January amewekwa na wapigaji. Kitu kikubwa ni kutunga miradi na kandarasi za kula hela za tanesco. Hawezi kubali mipango ya kienyeji ya ukarabati na taratibu ya repair and maintance alizokuta. Hapo ni mkopo utatafutwa kutia deni nchi bila ulazima kwa kujua watakula hela hiyo kupitia kandarazi kupitia rushwa na cha juu.Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Ushajiuliza huyo mwekezaji 70tn atairudisha vipi na kwa miaka mingapi? Huwezi fananisha hela ya kwako na ya mwekezaji,hela ya mwekezaji huwezi kuicontrol bei ataamua na kupanga yy gesi aiuze kwa shilingi ngapi.
Bwawa la Nyerere gharama zake sio 8tn,hata ikiwa 8tn je ni sawa 70tn ambayo hapo ni uchimbaji, bado hutengeneza miundo mbinu ya kuichakata hiyo mitambo, hapo bado kusambaza hayo mabomba, ikiwe mpaka kufika dar 1.3tn, vip kwa mikoa mingine bado hatuja zungumzia mitambo kuichakata hiyo gesi.
Sawa mkopo ila bei itacontrol serikali, hiyo 70tn bei ata control nani kama sio mwekezaji?Hujui hata uonaongea nini, bomba la gas linapelekwa kila mkoa kufuta nini? Hapa ndio nimejirusha kuwa naongea na kilaza. Bomba limeletwa hadi hapa Dar kwenye mitambo ya kuzalisha umeme hapo kinyerezi. Huko mikoani ni umeme tu. Hiyo 8t nani kakuambia ni ya kwako wakati ni mkopo, na uhakika wa kuilipa haupo!
Sawa mkopo ila bei itacontrol serikali, hiyo 70tn bei ata control nani kama sio mwekezaji?
Brother hata knowledge ya maswala ya ufundi hauna, system za electrical lazima ziwe na backup, what if Kinyerezi siku ikidondoka ipi itakayo lisha umeme?
Wewe unazani nchi zilizo endelea zina power plants moja tu ya gesi au nuclear, lazima unapo design backup lazima iwepo incase ikatokea moja imedondoka nyingine zina endelea kuserve.
Sababu yy ni Serikalini ina vyombo vya kuregulate bei, ila 70tn huwezi kuicontrol sababu ipo chini ya mwekezaji na yy ndiye atakayepanga bei, mkimzingua anaweza zima hata mitambo na akawambia mitambo mibovu, mtamfanya nini?Kwani hiyo gas akichimba muwekezaji nduo serekali inapoteza control? Nani kakuambia serikali ikikontrol bei ndio inakuwa nafuu?
Sababu yy ni Serikalini ina vyombo vya kuregulate bei, ila 70tn huwezi kuicontrol sababu ipo chini ya mwekezaji na yy ndiye atakayepanga bei, mkimzingua anaweza zima hata mitambo na akawambia mitambo mibovu, mtamfanya nini?
Pigia mstari kwani mitambo ni ya nani?Kwani hiyo gas akichimba muwekezaji ndio serekali inapoteza control? Nani kakuambia serikali ikikontrol bei ndio inakuwa nafuu?
Kuhusu mwekezaji kuchukuliwa hatua tena hao wa gesi sahau.Narudia tena, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Mitambo sio yake, bali yeye anawekeza kwenye uchimbaji wa gas. Na huyo muwekezaji ameingia mikataba, akizingua hatua zinachukuliwa dhidi yake. Au unadhani ni suala la kuamua tu kuzuia gas?
Pigia mstari kwani mitambo ni ya nani?