Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

Mbona kasema Vijifedha kapata mahali,

Sasa wewe unasemaje tena ni kodi yako,

Nadhani tuendelee Kumuunga mkono Rais anafanya makubwa sana,

Haya ni machache tu kati ya mengi
Huo ni unaweza kuwa mkopo ndugu tujipange tu kulipa.
 
Shule ya Sekondari ya kata ninayoishi hapa Jijini Mwanza inahitaji madarasa 54 kwa mujibu wa Taarifa ya Shule kwenye Kikao wa Wazazi. Sasa hivi shule ina madarasa 22. Yakiongezeka manne (04), yatakuwa 26. Bado 27! Si haba!
No, Kuna shule pia hazihitaji madarasa huenda mkajengewa yote 54

Rais wetu ni msikivu sana,
 
Ukisikia ujinga ndiyo huu. Samia ana utajiri gani wa kuweza kufanya hayo yote? Ujinga wa namna hii, ujinga wa kutafuta sifa za kijinga, aliwahi kuukemea hata Hayati Mkapa.

Hakuna ujenzi wala hela inayotolewa na Samia kutekeleza miradi ya umma. Miradi hiyo inajengwa na Serikali kwa niaba ya wananchi. Na pesa inaidhinishwa na Serikali, lakini ni fedha ya umma.
 
Nahisi wewe ndiye Samia mwenyewe maana kila siku ni kusifia kulikopitiliza kama wale waliokuwa wakumsifia dikteta Magufuli
Hakuna aliyesifia hapa,

Mtu kafanya vizuri kuna kosa gani kusifia?

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA NGUVU ZAIDI
 
Ubarikiwe sana,kutupa habari,habari hizi huwa hatuzipati,kwenye vyombo vya habari.
Najivunia kuwa mtanzania na kuwa na Rais mama Mpendwa Samia.
 
Tatizo lenu mnapenda KUDEMKA demka.
Subirini shule zijengwe. Zikamilike kwa matumizi.
Nia ya kujenga ni tofauti sana na tukio la kuanza/kukamilisha ujenzi!
 
Asante kwa ktupa habari,asante sana.
Najivunia kuwa mtanzania na kuwa na Rais Mama Samia.
 
Mimi nimenukuu maneno ya Kaimu katibu mkuu,

Ila ni lini watoto wote wa form One walianza shule kwa wakati mmoja nchi nzima?

Kuna watu walianza shule mpaka mwezi wa nne,
Asante sana kutufafanulia,wewe ni msomi,hata uandishi wako ni wa kisomi wa kuzaliwa na wa kusoma.
 
Mbona kasema Vijifedha kapata mahali,

Sasa wewe unasemaje tena ni kodi yako,

Nadhani tuendelee Kumuunga mkono Rais anafanya makubwa sana,

Haya ni machache tu kati ya mengi
Endelea kutupa ufafanuzi,Mungu akubariki sana.
 
Mkuu unataka kila kitu ifanye serikali kweli inawezekana?

Nadhani jitahidi kubadili namna ya kufikiri,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Miondombinu gani hakuna mkuu wangu,

Hebu tuweni na shukrani wazee,

Mbona Mama anamaliza kila kitu kwa wakati yani,

#KAZI IENDELEE
Mungu akubariki Rais wetu,jana nilitembelea shule moja ya secondary,jinsi ilivyo,utafikiri uko ofisi za kimataifa,tiles shule nzima,Rangi safi,vyoo vya kisasa na safi,mabustani,shule utafikiri uko Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…