Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

Una kichaa nini? Is she doing us a favour ama anatimiza majukumu yake? Si aliomba hiyo nafasi mwenyewe? Kwani ni charity? Tatizo watanzania huwa tubaona kama tunafanyowa favour kuklmbe ni haki zetu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mambo yasivyofanyika vizuri mnasema Rais anakwama,

Akifanya vizuri mnasema ni wananchi wamefanya, Wonders shall never end,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Si ulisema anajenga shule zote?,umegeuza tena kwenda kwenye shule zenye upungufu?,by the way hakuna shule ya serikali ambayo haina shida ya madarasa na mqdawati na waalimu
F
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Sasa kama shule haina upungufu sianapelekea kwenye upungufu?

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Hivi ina maana hii inchi haina long term goals ama ni kila mtu akiingia ikulu anajifanyia yake anayoona yatampendezea!?.
 
Unajitutumua kweli mkuu, hongera kwa kuimba na kusifu, ila usije kata pumzi mapema tu.
Kwani wewe ulikata tamaa?

Mimi nafanya kwa mapenzi yangu,

Nikiwa na muda nafanya nikikosa nafanya mengine,

Kuwa na Amani,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Huu muda wa kusifia tungewekeza kwenye kutenda na fikra za kuboresha huenda wakulima wasingekosa wateja wa mahindi yao.., wala Wananchi wasingeminywa kwa Tozo wakati kuna vyanzo kede kede kuliko nchi zote zilizotunguka
 
Hivi ina maana hii inchi haina long term goals ama ni kila mtu akiingia ikulu anajifanyia yake anayoona yatampendezea!?.
Mpango wa Maendeleo Upo mkuu,

Dharula pia zipo,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Huu muda wa kusifia tungewekeza kwenye kutenda na fikra za kuboresha huenda wakulima wasingekosa wateja wa mahindi yao.., wala Wananchi wasingeminywa kwa Tozo wakati kuna vyanzo kede kede kuliko nchi zote zilizotunguka
Serikali imetoa zaidi ya 60bl kununua mahindi,

Wewe unazungumzia mahindi gani?

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
 
Sijasema Serikali haioni umuhimu wa Elimu no,

Nimeseme ownership ya mtoto kupata elimu imekua zaidi kwa mzazi kuliko kwa Serikali zamani ilikuwa vesa versa,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Hiyo ownership ya Elimu kwa mtoto wa Tanzania siyo ndo Umuhimu wenyewe?
 
Tatizo wengi wetu ni wavivu wa kufikiri, hatuna kumbukumbu, na tunaendeshwa na matukio.

Mpango wa Maendeleo Upo mkuu,

Dharula pia zipo,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Je, tatizo la madawati ambalo tuliaminishwa limeisha ni kweli limeisha nchini!?
Screenshot_2021-10-02-21-22-19-747_com.android.chrome.jpeg
 
Back
Top Bottom