CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #81
Mambo yasivyofanyika vizuri mnasema Rais anakwama,Una kichaa nini? Is she doing us a favour ama anatimiza majukumu yake? Si aliomba hiyo nafasi mwenyewe? Kwani ni charity? Tatizo watanzania huwa tubaona kama tunafanyowa favour kuklmbe ni haki zetu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa kama shule haina upungufu sianapelekea kwenye upungufu?Si ulisema anajenga shule zote?,umegeuza tena kwenda kwenye shule zenye upungufu?,by the way hakuna shule ya serikali ambayo haina shida ya madarasa na mqdawati na waalimu
F
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Yaani Rais aje kuchati huku hahahaTumeishakugundua wewe ndio yeye, kizuri hujiuza na kibaya hujitembezq
Mama hana maneno yaungo mkuu,N vizur ila yasiwe madarasa hewa tafadhali na walimu tunao wa kutosha safi.
Mayala?Mbona huu mwandiko kama wa yule jamaa,Hayati alisema kwa tafsiri ya kwao jina lake lina maana njaa
Huyu ni nani?Tunamsubiri hapa:
Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao
Anajenga madarasa kwa pesa asizochangia na tumshukuru kwa hilo? Sasa hapo anayejenga na kumpa yeye masurufu ya kufuru ni yeye au sisi?
View attachment 1960321
Ulipo wewe huoni hata umuhimu wa kumtaka kuwarejesha wote ambao kupitia kwa Sirro anaowashikilia kinyume cha sheria?
Kwani wewe ulikata tamaa?Unajitutumua kweli mkuu, hongera kwa kuimba na kusifu, ila usije kata pumzi mapema tu.
Mpango wa Maendeleo Upo mkuu,Hivi ina maana hii inchi haina long term goals ama ni kila mtu akiingia ikulu anajifanyia yake anayoona yatampendezea!?.
Serikali imetoa zaidi ya 60bl kununua mahindi,Huu muda wa kusifia tungewekeza kwenye kutenda na fikra za kuboresha huenda wakulima wasingekosa wateja wa mahindi yao.., wala Wananchi wasingeminywa kwa Tozo wakati kuna vyanzo kede kede kuliko nchi zote zilizotunguka
Hiyo ownership ya Elimu kwa mtoto wa Tanzania siyo ndo Umuhimu wenyewe?Sijasema Serikali haioni umuhimu wa Elimu no,
Nimeseme ownership ya mtoto kupata elimu imekua zaidi kwa mzazi kuliko kwa Serikali zamani ilikuwa vesa versa,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Je, tatizo la madawati ambalo tuliaminishwa limeisha ni kweli limeisha nchini!?Mpango wa Maendeleo Upo mkuu,
Dharula pia zipo,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Pumzika[emoji706]Mambo yasivyofanyika vizuri mnasema Rais anakwama,
Akifanya vizuri mnasema ni wananchi wamefanya, Wonders shall never end,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Haya mambo unadhani Rais hajui?Tatizo wengi wetu ni wavivu wa kufikiri, hatuna kumbukumbu, na tunaendeshwa na matukio.
Je, tatizo la madawati ambalo tuliaminishwa limeisha ni kweli limeisha nchini!?View attachment 1960712
Ok
Rais hajakataa hili jambo ila alisema msubiri,Katiba mpya ni muhimu kwa sasa na vizazi vijavyo
Atupe muda sio kusema tusubiri.Rais hajakataa hili jambo ila alisema msubiri,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI