Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.

Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”

“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”

“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”

“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”

Millard Ayo

1000040886.jpg
 
Nimepata hasiraa.. Kama walisema wametafuta mwekezaji, Serikali inanunua mabasi ili iweje?

Miaka yote ya kuendesha mradi umeshindwa kumaintain na kujinunulia mabasi mapya mpaka unakopa?

Ujenzi wa barabara mkopo na uendeshaji wake ni mkopo!

Kama wamezishindwa kwanini wanaingia madeni mapya kujenga barabara mpya tena nyembamba kuliko za awali ilhali ya ruti ya Kimara wamenyoosha mikono!

Na mbona kakimbia kutaja kiwango cha mkopo!
 
IMG_7496.jpeg

This is whet they will do., watachukua mkopo wa kununulia mabasi mapya,

Wakipata hela wanaenda kununua mabasi ambayo ni residual value kwa wengine (only reconditioned):

Mabasi yenyewe hayana longevity, sio muda mrefu gear box na engine inaanza kusumbua. Huko kwenye karakana nako watu hela za parts washakula.

Miezi michache mabasi mapya barabarani hayapo.

Ni watu wasiotosheka.
 
Hivi hawa watu wana akili kweli? Mabus 100 yatasaidia nini?

Yaani mnatumia bilioni 500 kununua magari ya viongozi hizo pesa kwanini msiwekeze kwenye dart?
Mkuu, kuna viongozi wanastahili magari mapya hicho ndicho kipaumbele, umesahau msemo wa "hata wananchi wakila nyasi" lazima ndege ya rais inunuliwe? Kwa watawala wetu vya kwao ndio kipaumbele, kwani mtawafanya nini?
 
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.

Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”

“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”

“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”

“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”

Millard Ayo

Hii mikopo inalipwa na walipa kodi wa Tanzania, regardless. Mbona wanaoua au kuhujumu haya mashirika hawafanywi kitu chochote?
Wahujumu wanarudisha nyuma jitihada za kujiletea maendeleo. Na wizi wa mali za watanzania ni wizi kama wizi mwingine. Kukosa kuwajibika mpaka makampuni ya umma yanaporomoka imetosha sasa.
Hii hadithi ya mikopo iendane na wajibu wa kulipa na kusimamia matumizi sahihi ya mikopo hiyo. Vinginevyo inageuka kuwa laana
 
View attachment 3042931

This is whet they will do., watachukua mkopo wa kununulia mabasi mapya,

Wakipata hela wanaenda kununua mabasi ambayo ni residual value kwa wengine (only reconditioned):

Mabasi yenyewe hayana longevity, sio muda mrefu gear box na engine inaanza kusumbua. Huko kwenye katakana nako watu hela za parts washakula.

Miezi michache mabasi mapya barabarani hayapo.

Ni watu wasiotosheka.
Na hata hiyo MITUMBA watainunua kwa BEI zaidi ya MAPYA.

Halafu CAG ataimba wee mwishowe atapuuzwa.
 
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.

Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”

“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”

“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”

“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”

Millard Ayo

Si nasikia wanaibinafsisha, sasa anayebinafisishwa anakuja na uwekezaji gani?
 
Halafu baadaye kidogo watauziwa Waarab!
 
Back
Top Bottom