Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

Mama Samia kaa chini angalia upya TRA na POLISI!

Hizi organs 2 zinakuangusha sana Mh Rais Samia
 
Si mlifungua nchi?
Hao wao huwa ni kuongea chochote ili kutaka kumuonesha Magufuli alifunga nchi! Mtu asiyejitambua kazi yake ni kubwajaja na huwa kama makapi yapeperushwayo na upepo na huamini kila neno! Magufuli yeye alijua alikokuwa anaenda licha ya mapungufu katika njia alochagua! Kila hawa hata hawajui ni makelele ni mengi mno yasiyo na tija!
 
TRA ni janga la kitaifa.Sheria za kodi ni kizuizi kikubwa kwa ukuaji uchumi.
 
Tanzania ni nchi huru na ambaye ina sheria zake.

Ziheshimiwe.

Ila kuna tatizo.

Ukishakubali misaada, mikopo, Phoreign Help and Desires juwa ushakwisha.

Wao hao hao ndio wanatoa framework za kuujenga Uchumi, hao hao wanaosema nchi zifuate sheria, ila ikiwagusa wao ni kelele na malalamiko.

Anyways, siku hizi JAmiiforums imekuwa ni sehemu ya kula chai na matango pori, waandishi wanabandika maoni yao badala ya kuweka taarifa kama ilivyo.

Yaani uwasilishaji wa Habari umekuwa wa manjonjo.

Upande mmoja, nataka kuamini hawa wazungu watakuwa wanataka kutoa ushauri kuhusu mgomo wa hivi karibuni....

.....na upande mwingine
Nina wasiwasi hawa ndio wamekuwa wachochezi na wahamasishaji wa huu mgomo ili kupata leverage.

This is a stick and carrot situation.

Tutakukumbuka Mkuru.
 
Waziri wa mambo ya nje mh January Makamba amesema Serikali itakutana na Mabalozi Kujadili Changamoto za Uwekezaji

Ni mabalozi Kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ireland, Denmark, Korea, Uholanzi, Canada, Sweden na Ujerumani

Source Mwananchi

Mlale Unono 😂😂😂
Huyu mwizi atatufilisi
 
Safi sana? Utakuwa hujielewi wewe.
Yaani watengeneze wenyewe tatizo halafu wapongezwe wanapohangaika kulitatua? Seriusly kabisa unapongeza.
Ilishadokezwa kwamba wawekezaji nao wanataka kugoma kama walivyogoma wafanyabiashara kutokana na kusumbuliwa na TRA.
Tatizo Nchi inakopa sana inaangaika kutafuta fedha wakati nyingi wanazifisadi na kuzitumia kununulia magari ya anasa

Kwa hivyo nisipongeze hatua za kusahihisha tatizo?
Kuna binadamu hasiye kosea?
Hujawahi kukosea maishani mwako?
BWT, naheshimu maoni yako.
 
Kodi zitaendelea kuongezeka kwa ajili ya kulipa deni la taifa na matumaini makubwa ya serikali. Ndio ukweli uliopo
 
Kwa hivyo nisipongeze hatua za kusahihisha tatizo?
Kuna binadamu hasiye kosea?
Hujawahi kukosea maishani mwako?
BWT, naheshimu maoni yako.
sawa nakubaliana na wewe kwamba hakuna binadamu asiyekosea
 
Waziri wa mambo ya nje mh January Makamba amesema Serikali itakutana na Mabalozi Kujadili Changamoto za Uwekezaji

Ni mabalozi Kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ireland, Denmark, Korea, Uholanzi, Canada, Sweden na Ujerumani

Source Mwananchi

Mlale Unono 😂😂😂
Hata siku moja hawa vihiyo hawakumbuki kuwa uwekezaji mkubwa na wa hakika kabisa upo hapa hapa kwa waTanzania wenyewe!
Hovyo kabisa.
 
Si mlifungua nchi?
EEEEEEeenHEEEEeeeee!
"Walifungua nchi"! Na bado haitoshi, sasa wanawafanyia mikutano kabisa?
Kama ni umalaya, sijui malaya huyu tunge mweleza vipi, kwamba haikutosha kujipamba na kuweka manukato, sasa anajitembeza mitaani huku akipiga kelele?

Hawa viongozi ni kama akili kichwani hazimo kabisa. Unakwenda kumfanyia mkutano Mkorea, ambaye alikuwa ni maskini wa kutupa kabisa miaka michache tu iliyopita; na unashindwa kabisa kujuwa kwamba mKorea huyo huyo hakujiuza kama unavyojiuza wewe kwake!
Kwa nini usifanye mkutano naye akueleze yeye alipitia nnjia gani hadi kuwa hapo alipo yeye.

Makamba anazidi kujionyesha ujuha mwingi sana alio nao kichwani.
 
Waziri wa mambo ya nje mh January Makamba amesema Serikali itakutana na Mabalozi Kujadili Changamoto za Uwekezaji

Ni mabalozi Kutoka Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ireland, Denmark, Korea, Uholanzi, Canada, Sweden na Ujerumani

Source Mwananchi

Mlale Unono 😂😂😂
Hii nchi ina kodi za hovyo sana,wafanye marekebisho ya kodi lasivyo wawekezaji na wafanyabiashara watafirisika au kuhamisha biashara
 
Ushuru wa magari
Kodi za madini
Service levy
TRA
Parking
Kodi za mageti
Kodi za ukubwa wa Qbic meter
Kodi za mapango/nyumba na viwanja
NSSF
TRA
Tozo za kutuma
N.
N.k

Tusipangiwe tu kula mlo mmoja kwa siku, ukizidisha utalipia tozo
 
Mama samia najua wewe ni mwelewa, ondoa makodi yasiyo ya lazima, yamejaa, wawekezaji wataondoka wakimbilie nchi zisizo na makodi ya ajabu ajabu.
 
Nchi hii ina laana tunawaibia hadi wafadhili wa vimiradi vyetu.
 
Safi sana? Utakuwa hujielewi wewe.
Yaani watengeneze wenyewe tatizo halafu wapongezwe wanapohangaika kulitatua? Seriusly kabisa unapongeza.
Ilishadokezwa kwamba wawekezaji nao wanataka kugoma kama walivyogoma wafanyabiashara kutokana na kusumbuliwa na TRA.
Tatizo Nchi inakopa sana inaangaika kutafuta fedha wakati nyingi wanazifisadi na kuzitumia kununulia magari ya anasa

na hii kitu kukopa chura aliahidi kuruka nayo sana tu! Shida ndio inapoanzia kwa level ya uongpzi uliopo
 
Mama Samia kaa chini angalia upya TRA na POLISI!

Hizi organs 2 zinakuangusha sana Mh Rais Samia
TRA WATAKUJA SABABISHA YA KENYA HAPA NCHINI MAMA SAMIA KUWA MACHO NA WASAIDIZI WAKO SIYO WATU WAZURI.
 
Mm naona tatizo sio mama tatizo ni hizi kenge alizo ziamini zinamsifia huku zinakula kama mchwa.
Limama lenu hilo ndo tatizo nambari wani, wasaidizi wanatekeleza amri zake! Wote wezi kuanzia binti kizimkazi mawaziri wake, wabunge, ni pamoja na viongozi wa juu wa serikali anaowachagua yeye. Nchi inaongozwa na mijizi mitupu!
Shame!
 
Back
Top Bottom