Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

Serikali kukutana na Mabalozi wa nchi 9 kujadili malalamiko ya Wawekezaji kuhusu masuala ya Kodi

Tunasemaga makadirio mabovu ni kirusi haya hadi wawekezaji wamelia, mnadhani mnapeleka ujumbe upi kimataifa
 
Ukiona moshi unafuka, jua kuna moto. Kuna dalili nyingi ubinafsi unakwaza watu wengi Tanzania. Tumefika sehemu tujitafakari. Tunaharibu mengi kwa kuendekeza ubinafsi
Ni sahihi ubinafsi unalifanya taifa letu liendelee kuwa Masikini, kuna watu wanataka wafanikiwe pekee yao kwani Mungu ni wa kwao tu hapana, jiulize Gari unanunua Japan ml 15 ikifika Tanzania ulipie ushuru ml 17 that is non sense, yaani gharama ya TRA inazidi gharama ya Gari.

Tunaumizwa sisi wananchi ili watutawale kirahisi huo ni ujinga.
 
Inachekesha na kufikirisha sana. Bila kubana matumizi, serikali itashindwa namna ya kupata hela za kutosha za kujiendesha na kuleta maendeleo.
Kuna dalili nyingi sana mambo hayaendi sawa. Ukiangalia zile pot holes za barabara za Masaki, unashangaa. wanaweka kokoto mvua zikija, mashimo yako palepale. Ina maana hatuwezi kuzirekebisha? Yes mvua zimeleta hii changamoto. Mbona kama mji mzima barabara zimeachwa ziendelee kuharibika?
Kodi ni wajibu wetu kuzilipa. Ila ni wajibu wetu pia kuona kodi zinatumika vema na kutuletea maendeleo. Sasa hivi kuna ishara nyingi kodi zinazokusanywa hazitoshelezi
 
Wanataka kuongea na Mabalozi wakati kodi ya Land Cruiser hailipiki kwa gari ya 2024 ukitaka kuja kukata uwekeze kwenye Utalii mbona mnaenda mbali wakati Watanzania tu hawawezi kufanya huo uwekezaji kwa sababu ya kodi kubwa za magari...
 
Back
Top Bottom