Ni sahihi ubinafsi unalifanya taifa letu liendelee kuwa Masikini, kuna watu wanataka wafanikiwe pekee yao kwani Mungu ni wa kwao tu hapana, jiulize Gari unanunua Japan ml 15 ikifika Tanzania ulipie ushuru ml 17 that is non sense, yaani gharama ya TRA inazidi gharama ya Gari.
Tunaumizwa sisi wananchi ili watutawale kirahisi huo ni ujinga.