PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.
Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe