Tetesi: Serikali kupeleka bungeni muswada wa Sheria juu ya chama cha siasa kujitoa kwenye uchaguzi

Ulaya gani?
...wanafanya huu upuuzi unaofanywa hapa kwetu, mara fomu hazipokelewi, sijui mtendaji katokomea!??
Leta reference hapa!!!
Hukumuelewa,Yaani ukitopiga kura unapigwa fain.Kwa kuwa kupiga kura ni jambo la lazima kwa raia mfano huko Australia. Lakini tanzania si lazima kwa raia kupiga kura,bado ni hiari tuu.
 
Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Vita mbona tayari visha jiri,ila kwa sasa ni vya maneno tuu,lakini hapo mbele vinaweza kubadilika kuwa vya migomo na maandamano na hatimae vinaweza kuwa vya kuviziana,kisha rasmi vikundi vinaweza kujiorganise na kuanzisha mapambano rasmi kama hali haitadhibitiwa na kufikia muafaka na maelewano mapema. Nawasihi viongozi acheni kutumia mbavu,anzisheni mazungumzo mapema kwani,!
TAHADHARI NI BORA KABLA YA ATHARI
 
Kwa CCM wanavyopenda kutawala kuliko wanavyoipenda Tanzania inawezekana kabisa. wanavyoogopa uchaguzi wanaweza tunga sheria ya kunyonga wapnzani wanaojitoa.
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.

Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.

Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
 
We ulifika ulaya ipi au umeona kwenye muvi za akina Denzel Washington
Compulsory voting is an effect of laws which require eligible citizens to register and vote in elections, and may impose penalties on those who fail to do so. As of August 2013, 22 countries provide for compulsory voting, and 11 of them — about 5% of all United Nations members — enforce it.[1]
 
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.

Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.

Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Kama ndiyo hivyo ni wazi watakuwa wanataka ushindi wa lazima, na ikitokea basi sisi wananchi tutajitoa kwa kutoenda kupiga kura.
 
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.

Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.

Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Muswada kama huo upelekwe na upite.. kama hakuna haki aibu ingine itaibuka...aibu nyingine ni Mungu anawapa mawazo viumbe wake na kuwaonyesha njia ya kupita.....
 
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.

Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.

Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Nilifikiri umeandika MUSUADA WA KUUNDWA TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Acha uwongo. Ulaya ipi unayoiongelea wewe? Nchi gani? Kupiga Kura ni hiari ya mtu. Democrasia ni pamoja na kuchangua, kuchaguliwa, kushiriki kupiga Kura au kutoshiriki kupiga kura. Hizi zote ni haki za msingi za mtu mmojammoja.
Huwezi kumlazimisha mtu kushiriki kwenye uchaguzi kama haoni umuhimu wake.

Huwezi kuwalazimisha watu waende kufanya uchaguzi wakati matikeo ya uchaguzi mnayo tayari.
Democrasia gani hii, wewe kila siku unafanya siasa, unazunguka nchi nzima kuimarisha cham chako, wakati huo huo umewafungia washindani wako wasiongee.
Unaitisha mechi wakati referee ni wewe, mech kamisaa ni wewe, mshika kibendera ni wewe, kamati ya rufaa ni wewe. Unategemea matokeo yaweje? Nikifunga goli nani atalihesabu??

Acheni kuwafanya watanzania kuwa ni mazuzu hivyo Jamani. Ninyi malizieni kutangaza matokeo. Mmeshinda Kwa kishindo msiogope. Sijui mlikuwa mnashinda na nani.
Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
 
Waipitishe vizuri saa iwe sheria na waelewe kuna vyama vitajitoa ili wavifute jumla jumla wabaki wao wenyewe.

Mbona serikali za mitaa wameachwa wenyewe wapite kwa kishindo then hawataki tena?

Nchi imekosa kiongozi kabisa

Back
Top Bottom