Hukumuelewa,Yaani ukitopiga kura unapigwa fain.Kwa kuwa kupiga kura ni jambo la lazima kwa raia mfano huko Australia. Lakini tanzania si lazima kwa raia kupiga kura,bado ni hiari tuu.Ulaya gani?
...wanafanya huu upuuzi unaofanywa hapa kwetu, mara fomu hazipokelewi, sijui mtendaji katokomea!??
Leta reference hapa!!!
Vita mbona tayari visha jiri,ila kwa sasa ni vya maneno tuu,lakini hapo mbele vinaweza kubadilika kuwa vya migomo na maandamano na hatimae vinaweza kuwa vya kuviziana,kisha rasmi vikundi vinaweza kujiorganise na kuanzisha mapambano rasmi kama hali haitadhibitiwa na kufikia muafaka na maelewano mapema. Nawasihi viongozi acheni kutumia mbavu,anzisheni mazungumzo mapema kwani,!Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
We ulifika ulaya ipi au umeona kwenye muvi za akina Denzel Washington
How old are you?Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Ulaya ipi awe compelled kupiga kura? Haki ya kupga kura inalindwa hailazimishwi .Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Unadhani anamjua huyo Denzel mwambie za JB na wennzakeWe ulifika ulaya ipi au umeona kwenye muvi za akina Denzel Washington
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.
Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Ulaya ipi hiyo acha kupotoshaHata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Compulsory voting is an effect of laws which require eligible citizens to register and vote in elections, and may impose penalties on those who fail to do so. As of August 2013, 22 countries provide for compulsory voting, and 11 of them — about 5% of all United Nations members — enforce it.[1]We ulifika ulaya ipi au umeona kwenye muvi za akina Denzel Washington
Kwa hiyo siku hizi mnaiga mabeberu?Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Kama ndiyo hivyo ni wazi watakuwa wanataka ushindi wa lazima, na ikitokea basi sisi wananchi tutajitoa kwa kutoenda kupiga kura.Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.
Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Ulaya ya Kilosa na ya Nzega.Ulaya ipi hiyo acha kupotosha
Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Muswada kama huo upelekwe na upite.. kama hakuna haki aibu ingine itaibuka...aibu nyingine ni Mungu anawapa mawazo viumbe wake na kuwaonyesha njia ya kupita.....Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya uchaguzi)ili kuvinyonga kabisa vyama vyote vitakavyojiondoa Kwenye uchaguzi,wapambe hawa wakiongozwa na prof KIBUDU wameshaanda vifungu hivyo ili kukomesha aibu hii ya uchaguzi wa mwaka huu isitokee tena.
Wapambe wa jiwe wanahofu juu ya uchaguzi Mkuu hapo mwakani yasijetokea maafa zaidi Kwa taifa ndiyo maana Sheria nyingi za hovyo zitapelekwa bungeni ili kuwabana zaidi wapinzani....Sisi wananchi tunaiomba serikali hii ya awamu ya tano isituingize Kwenye vita ya wenyewe Kwa wenyewe
Nilifikiri umeandika MUSUADA WA KUUNDWA TUME HURU YA UCHAGUZIHizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.