Tetesi: Serikali kupeleka bungeni muswada wa Sheria juu ya chama cha siasa kujitoa kwenye uchaguzi

Hatari sana...

Kila likitokea tukio, badala ya kukaa mezani na kujadiliana namna ya kulitatua...

Badala yake hilo tatizo linatungiwa sheria ya kulikuza tatizo...


Cc: mahondaw
 
Hata Ulaya ukibainika haujapiga kura faini ni pesa kubwa mno
Acha ujuha wewe, Ulaya ndo nini kuna Nchi inaitwa ulaya?? Taja Nchi unayoijua yenye sheria hiyo.

Alafu sijui kwanini hujawahi kuongea point hata siku moja kutwa upo humu JF lakini unakoboa pumba tu.
 
Kukomesha mnapewa pesa za ruzuku ,pesa za wananchi lakini hamshiriki uchaguzi
Wewe jamaa una roho mbaya saana kwani fedha ni za baba yako? Mbona wewe unakula bila kazi yoyote ya maana kwani unamchango gani kwa taifa.

Itakufaa nn hata tukikuachia hazina iwe mali yako pekeyako. Yaana kila komenti unayotoa ni ya kijinga saana wewe unafikiri kodi niya mama yako mzazi. Sasa nasema ulaaniwe wewe na kuzazi chako asiwepo mtu wa kizazi chako ataye isgi kwa furaha maisha , maisha yako yawe ni yenye kutanga tanga hata utapo yarudia mavumbi. Tamaa yako ikawe laana miguuni pako na ukawe na uzee mbaya wenye mateso yoote.

Kama mungu aishivyo ninakuapisha katika mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Uzae mtoto wa mwisho haramu na kupitia yeye mungu akaiondowe furaha yako na ufanyika laana kama ilivyo roho yako.
 

Kama vyama vingi kama nchi hatuvitaki tuweke sheria kusiwe na chama badala ya sheria za kupoteza muda na pesa za Watanzania
 
Wapeleke muswada wa kuvifuta iwe moja wabaki Csiemu peke yao tu.
 
Kweli mkuu, wakileta hiyo sheria basi vyama havijiandikishi kushiriki mpaka mazingira yatakapokuwa sawa, sasa hapo watavifuta kwa kutojiandikisha kushiriki, hataivo hiyo serikali itakayoleta sheria ya namna hiyo itakuwa ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…