jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Hongera Rais Samia kwa kazi hii adilifu na dhamira ya dhati ya kuboresha sekta ya afya Tanzania.
Leo nitaongelea suala la bima ya Afya kwa wote.
Ikumbukwe niliwahi kuhoji swali katika mdahalo wa Urais 2015 kupitia JF na swali langu lilihoji juu ya namna viongozi tarajali wangeweza kufanyia kazi hoja ya bima ya afya ya jamii..
Hakuna mgombea yoyote au mwakilishi wake aliyeweza kujibu kwa ufasaha au aliyeenokana kuelewa.
Mhe.Rais Samia amejipambanua clearly kwamba anataka kuona suala la bima ya afya kwa wote linafikia katika suluhisho. Aliwataka wataalamu,wanasiasa na jamii kwa ujumla kuhitimisha wazo hili la mudamrefu.
Mwaka jana(kama kumbukumbu zangu zipo sawa) serikali kupitia wizara ya Afya iliwasilisha muswada bungeni ambao kwa bahati mbaya, au kutokana na poor coordination ya kisekta ama vurugu za mawazo kinzani kati ya wadau ikapelekea muswada huo kukwama.
Sasa kesho yaani tarehe 1 Novemba tunaelekea kupata fursa mpya na adhimu ambayo itaweka historia katika mfumo wa utoaji huduma za afya nchini lakini pia utaweka historia ya namna bora ya kufinance sekta adhimu ya huduma za afya nchini.
Kupitia muswada wa bima ya afya kwa wote TANZANIA itaenda kuanza kujitegemea katika sekta ya afya na hatimaye kuondokana na lile neno la KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI.
Chonde chonde Wabunge wetu na wataalamu msituangushe .
www.jamiiforums.com
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Mojawapo ya Agenda muhimu kwa Bunge kujadili ni bima ya Afya kwa wote
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage. Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!